IDFakenyingine
Senior Member
- Sep 28, 2022
- 176
- 441
- Thread starter
-
- #121
Marehemu hakuwa anajificha...Marehemu hana kauli ila Kama hakutaka Identity yake iwe wazi akiwa hai hata akiwa amekufa inapaswa kubaki hivyo, kama aliiweka wazi ni sawa kuendelea kuiweka wazi.
Apumzike kwa amani mwenzetu.
Ok bossMkuu,
Ndugu niliyemjibu hapo juu alifanya conclusion kwamba privacy iheshimiwe ni kama alikuwa anatuhumu.
Nikwamwambia kwanini jf ni anonymous lakini kiongozi amepata picha zake? Je kama ameongea na familia aweze kutoa taarifa? Alichofanya yeye ni kutoa Taarifa hakuna sehemu ametoa kashfa au kitu kibaya.
Wengi wetu tukifa privacy huwa inavunjwa mfano tusitaki kushare mwaka wangu wa kuzaliwa ila siku nikifa nitaanza kutajwa hivyo vitu vyote.
Je ni kweli nitakuwa nimekubali waviseme ilihali ni mfu?
Tunashukuru kwa taarifa.
Ahsante kwa taarifa 🙏Marehemu hakuwa anajificha...
Rubawa ni jina lake halisi (Hamidu Rubawa)...
Hata Display Picture ya avatar yake ni PICHA YAKE HALISI!
Nakazia.Zitabaki kua nadharia ila kwa sisi wakristo tunaamini kifo ni mpango wa Mungu
Inna li Llahi wa inna ilayhi rajiun.MwanaJF mwenzetu Rubawa amefariki jana nchini Marekani!
Marehemu alikuwa akiishi Dar na Cape Town, Afrika Kusini kabla ya kwenda Marekani miezi michache iliyopita.
Rest easy bro, Hamidu Rubawa!
View attachment 2828672View attachment 2828673
= RubawaNimepitia comment za ndugu yetu marehemu lubawa alikua kichwa....
Pumzika kaka lubawa
Alikuwa siyo mchangiaji sana, ni msomqji sana.
Pole Kwa familiaAmefariki ghafla, hakuwa mgonjwa.