TANZIA MwanaJF mwenzetu, Rubawa amefariki dunia

Kwani kifo cha Mungu kipoje??au ufajee ndio watu wajue umekufa Kwa mipango ya Mungu na si vinginevyo??wabongo hamkosagi sababu kwenye kifo utafikiri mlishawahi na mnauzoefu wa kufa??epuka chako basi kama unakifahamu na unakijua Kifo!!
😂 Nimecheka.
Ila mkuu Cha Mungu hakiwi na utata,tatanishi,nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…