T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Poleni sana wanaJF. Rubawa namkumbuka kwenye uzi mmoja nadhani ni miezi miwili au mmoja umepita kiutani alidai atafia Marekani kuna vitu vya kusikitisha hapa nchini vilikuwa vinaendelea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙏🙏🙏Mwenyezi Mungu awe mfariji mkuu katika kipindi kigumu ambacho familia yake inapitiaNakazia.
May his soul rest in eternal peace🙏
Tuko msibani tafadhali 😂Mawazo ya kijinga kabisa haya,toka huko kwenye imani za hovyo.
😂 Nimecheka.Kwani kifo cha Mungu kipoje??au ufajee ndio watu wajue umekufa Kwa mipango ya Mungu na si vinginevyo??wabongo hamkosagi sababu kwenye kifo utafikiri mlishawahi na mnauzoefu wa kufa??epuka chako basi kama unakifahamu na unakijua Kifo!!
Amen to that🙏🙏🙏🙏Mwenyezi Mungu awe mfariji mkuu katika kipindi kigumu ambacho familia yake inapitia
Ndio utuambie sasa hiko Kifo ambacho si cha utata,tatanishi nk!!😂 Nimecheka.
Ila mkuu Cha Mungu hakiwi na utata,tatanishi,nk