Duh..... nimempoteza follower wangu na mdau wangu wa lugha ya Kinyakyusa.
Mungu ampokee huko mbinguni
Acha ukorofi.Mnamjibu wa nini? Mtu mzima anaulizaje swali la kitoto namna hiyo
AhsanteAcha ukorofi.
Pole kwa msiba.
Nitamwomba Sllay aniambie ww ni nani 😁😁😁😁😁😁😁Watu tunajuana humu mkuu. Kama mimi nina rafiki zangu wakubwa humu wananijua fika akiwemo huyu syllae toka nitoke tangu tunavaa kaptula
sio wote wanatumia fake id, kuna watu wengi tu wanatumia majina yao halisi, ata hao wanaotumia fake id wengine wanafahamiana vzuri tuHuwa mnajuaje na hizi fake id
Tukujhonga jumojumo, kangi tukujhonga twe bhakekeNkamu gwango mmanyani gwango ndondo mwinango nsobhisye onkamu gwango. Ngale nsikwamini Naolo. Kyala atotolege
Kuna Watu wanafahamiana na wanajadiliana Mada pembeniHuwa mnajuaje na hizi fake id
Nimezipokeaa hz taharifa kwa uzuni sna namjuwa vzr Sana tumesoma nae chuo kimoja na pia Ni mfanyakaz wa hazina ndgo hapo njombe ila sijawai kujuwa kuwa Yuko huku until Jana nilivyoona taarifa ya kifo chake nilishtuka sna kwani mwezi wa January nilikuwa nae hapa kibo akiwa amefika dsm hapa kuja kuchukuwa cheti chake Cha CPA niseme tu tulizunguza mengi kidg na yey kwani ananijuwa vzr San na ikumbwe kuwa hii ajali ilikuwa ya pili kwan alinihadidhia kuwa alipata ajali nyingine na kuharibu gar yake vbya mno kweny show ya mbele na kumgarimu mamilion ya pesa picha za ajali yake ninazo na nitazishare humu ndani muda siyo mrefu kwani Ni rfk yangu pia ni class mate wangu pia .mungu amlaze mahali pema peponi AminaNdugu Yetu Ndikwega amefariki juzi tarehe 21/02/2022 Jumatatu asubuhi eneo la Igawa. Amefariki kwa ajali akitoka Mbeya Kwenda kituo chake cha kazi Njombe. Alikuwa peke yake kwenye gari binafsi.
Mazishi yamefanyika leo kwao Rungwe .
Apumzike salama
Aisee mm nimesoma nae chuo kimoja na Ni professional accountant kbsa huyu ila sikujuwa kuwa Ni member hukuDuh..... nimempoteza follower wangu na mdau wangu wa lugha ya Kinyakyusa.
Mungu ampokee huko mbinguni
Sijajua ajali ilisababishwa na nini lakini mwendo kasi unaua.Ndugu Yetu Ndikwega amefariki juzi tarehe 21/02/2022 Jumatatu asubuhi eneo la Igawa. Amefariki kwa ajali akitoka Mbeya Kwenda kituo chake cha kazi Njombe. Alikuwa peke yake kwenye gari binafsi.
Mazishi yamefanyika leo kwao Rungwe .
Apumzike salama
Kweli Mkuu, tunaweza tukawa tunajishebedua kumbe tuko uchi!!Huwa mnajuaje na hizi fake id