Leo katika TBC radio, muda wa saa 7-8 hivi, dada anayedaiwa kuzalishwa na Gwajima madhabahuni na kutelekezwa amehojiwa leo, dada huyo amesimulia mkasa mzima...
Anasema, Gwajima alimtongoza na kulala naye kwenye madhabahu na alizaa mtoto na huyo mtoto alikuwa studio wakati wa mahojiano, anasema kuna godoro ndani ya vyumba vya kanisa la Gwajima ambacho Gwajima hutumia kufanya mapenzi na wanawake na madada, anasema, Gwajima kazaa na madada wengine 3 ...
Pia, Anasema, amishatoa taarifa ustawi wa jamii na ustawi wa jamii wamehojiwa na kukiri kulifahamu hilo swala, Gwajima anatuhumiwa kutelekeza mtoto na hatoi matunzo.