Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Naona clouds TV now rasmi imeanza kutumika na watu Fulani kama mashambulizi ya kisiasa. Sio kwamba raisi kusifia kipindi ndo mnaona kufanya huo ujinga kutawainua na kuwapa umaarufu mmeshashika makaaa na mtaungua now muombe mungu tu uyo mama awe wanasema kweli la sivyo kipindi lazima kipigwe chini hicho
 
Huyu binti ni yatima mzaliwa wa Gumanga Kiomboi Singida. Alikwenda kutafuta msaada wa kiroho ndipo akakutwa na mambo hayo.
Sawa tu. Vyeti kwanza. Hatutaki upuuzi wa kuhamisha mada na kusahaulisha mambo.
 
Leo katika TBC radio, muda wa saa 7-8 hivi, dada anayedaiwa kuzalishwa na Gwajima madhabahuni na kutelekezwa amehojiwa leo, dada huyo amesimulia mkasa mzima...

Anasema, Gwajima alimtongoza na kulala naye kwenye madhabahu na alizaa mtoto na huyo mtoto alikuwa studio wakati wa mahojiano, anasema kuna godoro ndani ya vyumba vya kanisa la Gwajima ambacho Gwajima hutumia kufanya mapenzi na wanawake na madada, anasema, Gwajima kazaa na madada wengine 3 ...

Pia, Anasema, amishatoa taarifa ustawi wa jamii na ustawi wa jamii wamehojiwa na kukiri kulifahamu hilo swala, Gwajima anatuhumiwa kutelekeza mtoto na hatoi matunzo.
 
Majanga aiseee kama chombo hicho kimetumika kutangaza habari hiyo.
 
1feec8919c5efb9333539b37d2d67a7f.jpg
 
hakuna shida taratibu zifuatwe kama inamhusu awajibike na mtoto......lakini cha msingi tunataka kila mtu atumie jina lake halali kupata kazi Baaaaasi
 
Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Halafu katelekezwa. Anasema yu tayari kupima DNA. Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.
'WHAT GOES AROUND ALWAYS COMES AROUND' Heed to this all that you read this
 
TBC haiaminiki tena wewe umefeli karudi ukajipange upya farasi wa kike wewe, wanadanganya habari ngapi, juzi wametangaza majanga matupu wakasimamishana na kazi wenyewe kwa wenyewe unatuletea porojo hapa.
 
Kwa hiyo?

Mambo ya Gwajima mwachieni yeye na familia yake sisi hayatuhusu.

Tunaomba mfuateilie suala la vyeti vya RC Makonda kwa sababu yeye anatuhusu moja kwa moja.

Acheni kupotezea kwa kulete mijadala isiyo na mashiko. Kama ustawi wajamii wanajua sasa mnaleta hapa ili sisi tuchukua hatua kwa niaba za ustawi wajamii? Upumbvue mtupu!
 
Back
Top Bottom