Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Gwajima mpuuz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ashukuru Mungu kamuondolea ugumba huenda angekufa bila mtotoHii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Halafu katelekezwa. Anasema yu tayari kupima DNA. Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.
Hapana amtunze mtoto tu,ndicho huyu Dada anahitaji sasa kama unavyojua midume wakati wa kwichikwichi huwa raha lakini zao lake pasipo kutegemea huwa karaha.Kwahiyo anataka azalishwe tena?
Sawa tu. Vyeti kwanza. Hatutaki upuuzi wa kuhamisha mada na kusahaulisha mambo.Huyu binti ni yatima mzaliwa wa Gumanga Kiomboi Singida. Alikwenda kutafuta msaada wa kiroho ndipo akakutwa na mambo hayo.
Ndo maana yake make alisema anafunga mjadala wa Bashite mpaka atakapo chokozwaumeona...hawa uhuru watakuwa wana njama za kumharibia kabisa mheshimiwa...
'WHAT GOES AROUND ALWAYS COMES AROUND' Heed to this all that you read thisHii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Halafu katelekezwa. Anasema yu tayari kupima DNA. Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.