Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uhuru fm!!!!Naona Gwajima achague Kufanya kazi ya Kanisa au afanye siasa maana anatuhuma Sana za kuzalisha wake za watu. Halafu anatumia madhabahu kuhibiri siasa kitu ambacho ni kinyume.Nachelea kumuamini huyu anayejiita mtumishi wa Mungu.
One and all will have to face the realityNdio ni kada huyo.
umeona...hawa uhuru watakuwa wana njama za kumharibia kabisa mheshimiwa...Yeye Gwajima alisema ikitokea mtu akamletea usiku katikati ya wiki basi yeye jpili anamuangukia Bashite.
Wakawadanganye mapunguani wenzao aiseeeeeeeeeeeeHii redio imekaa kishabiki sana aisee.
Hakuna kipya hapo na naanza kuamin hii issue imetengenezwa.
Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Halafu katelekezwa. Anasema yu tayari kupima DNA. Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.
Haijalishi hiyo habari source ni wapi na wala haihusiani chochote na swala la Bashite hapa tuangalie tu mwenendo wa huyu anayejiita mtumishi wa Mungu.Swala la Bashite libaki Kama lilivyo maana hili haliwezi kucover vyeti vya Bashite.uhuru fm!!!!
1. Uhuru Media no Mali ya chama tawala.Hivi Uhuru fm Mali ya nani tukijua mmilimki wake basi
Kweli humu watu wana ubongo kama mbao bashite anahusiana nini nakumzalisha mama mtoto. Msichanganye somoPamoja na hayo.....hiyo haiwezi kumsafisha Bashite. Period!
Nani mumeo auAsante kwa taarifa, lakini mwambie bosi wako Bash.. tunataka vyeti.