Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Swala la gender lilishafutwa. Walifanya marekebisho kama sijakosea 2012 or so. Hivyo Charlotte ana haki kabla ya Luis. Harry hana nafasi ni mpaka say bahati mbaya William na kizazi chake wasiwepo duniani . Naona hata mitandaoni walishapost hivyo. Nina uhakika 100% na ninachoandika hapa.
 
Harry anaoa kwenye dysfunctional family
"Cashing-in" might all be a little uncouth for the royal family but, hello, this the real world where people have to earn a crust. And your majesty, if your boys are going to ''take on commoners,'' then you have to accept the in-laws too. Nimeinyaka SKY NEWS
 
Prince Charles si ndio alitakiwa awe mfalme...ila nasikia walimtoa baada ya kuona haeleweki haeleweki......wakaamua iruke mpaka kwa mwanae william.
Nimesikia hivyo ni kwa aliyomtendea Diana na kuoa divorcee Camilla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…