witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Mzee Markle hapatani na binti na mama yake kazi kwelikweli!Aseh!, wangeficha kwanza drama zao kwa ajili ya wedding, Royal wedding to be accurate..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Markle hapatani na binti na mama yake kazi kwelikweli!Aseh!, wangeficha kwanza drama zao kwa ajili ya wedding, Royal wedding to be accurate..
Looks like Harry likes wild stuff
Mzee Markle hapatani na binti na mama yake kazi kwelikweli!
Harry anaoa kwenye dysfunctional familyKazi si kidogo!, angeweka differences zao pembeni at least for now. I hope royal family hawamwambii Harry, "..we told ya!..
Harry anaoa kwenye dysfunctional family
Watu wanampenda sana Harry kwa hiyo I don’t care attitude yake. Lunch time anaweza kuingia Mac Donald na minder wake wakapata burger safi. Hayo William hayawezi.Yaani acha tu! 😀
But I don't think he cares much. He's second best anyways. 🙂
Sababu?Baba wa Megan hatahudhuria harusi ya mwanae Jumamosi
Swala la gender lilishafutwa. Walifanya marekebisho kama sijakosea 2012 or so. Hivyo Charlotte ana haki kabla ya Luis. Harry hana nafasi ni mpaka say bahati mbaya William na kizazi chake wasiwepo duniani . Naona hata mitandaoni walishapost hivyo. Nina uhakika 100% na ninachoandika hapa.Mkuu, elewa nilichoandika maana kina uhakika wa asilimia 100.
Harry ni mtu wa tano kufuatia kofia ya ufalme.
Charlotte nafasi yake imechukuliwa na Louis hivyi kumshusha Charlotte kuwa baada ya Harry.
Charlotte hawezi kumpita Harry kwenye hicho kiti ndivyo mahesabu ya kukifuata kiti hicho yalivyo.
Ni utaratibu tu lakini inajulikana Mfalme ajae na anaeandaliwa ni William.

huyu harry ndo alokua pilot vitani eh!!!?,na ndo mshkaji wake snoop dogg pia au nachanganyaTrue!, he seems wild too 🙂
Alipata heart attack last week na this Wednesday amefanyiwa operation ndo maana hawezi kuhudhuria but nothing seriousSababu?
huyu harry ndo alokua pilot vitani eh!!!?,na ndo mshkaji wake snoop dogg pia au nachanganya
"Cashing-in" might all be a little uncouth for the royal family but, hello, this the real world where people have to earn a crust. And your majesty, if your boys are going to ''take on commoners,'' then you have to accept the in-laws too. Nimeinyaka SKY NEWSHarry anaoa kwenye dysfunctional family
Prince Charles si ndio alitakiwa awe mfalme...ila nasikia walimtoa baada ya kuona haeleweki haeleweki......wakaamua iruke mpaka kwa mwanae william.Baba mkwe wa kuleo yes Prince Charles
Nimesikia hivyo ni kwa aliyomtendea Diana na kuoa divorcee CamillaPrince Charles si ndio alitakiwa awe mfalme...ila nasikia walimtoa baada ya kuona haeleweki haeleweki......wakaamua iruke mpaka kwa mwanae william.