Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Duuh!watu wamekesha
 
Sure Beyonce aliwahi haswa!sasa hivi anakula gudtime!
 
Habari za asubuhi kwa wale wlojidamka mapema leo.

Malkia Elizabeth II leo ametoa cheo au title kwa Harry na Meghan.

Kuanzia leo wataitwa Royal Highness Prince Henry and Duke of Sussex and Meghan Royal Highness Duchess of Sussex.

Sussex ni wilaya iliyopo kusini mashariki mwa Uingereza na ina uwanja wa ndege wa Gatwick ambao ni wa pili kwa ukubwa nchini Uingereza.

Pia yapo makao makuu ya American Express yaliyopo kwenye mji wa Brighton, kiwanda cha magari aina ya Rolls Royce na makao makuu ya shirika la ndege la Virgin Atlantic kwenye kamji kadogo kaitwacho Crawley..
 
Haya bwanaa!!!
 
Sky Eclat witnessj

Mpya kutoka Kensington Palace.

Prince Charles will walk his future daughter-in-law Meghan Markle down the Aisle..
Chalz anayawezaga aseee!

Mareject wote huwaga anajifanyaga baba kwenye harusi zao![emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nampendaga sana Charles seems disminder flani hivi amazing!
 
Charles ndo zake kuokota rejected na kuwa baba kwenye harusi...hebu fatiliaga!
 
Hii ndio homa ya dunia

Sio kibakuli homa ya mikocheni
 
Uzuri ni kimavi watu hatujui tuu...huyo Meghan na vigimbi vyake unaambiwa mwanaume akionja pale anatangaza ndoa fasta halafu matajiri tupu!

Huyo mganga wake alimtoa Nyakanang'ung'u nahisi, si kwa mibahati hii
Hivi huyu mdada aliwahi kuolewa kabla?
 
Mmmmh...hapa Posh ana mimba tena itakuwa ya Harper Seven nadhani ilikuwa harusi ya William na Kate hapa!
 
Lakini Riri alijibu vizuri nliipenda...js bcz she met Harry dsnt mean she is invited...ndo akamuuliza mtangazaji ...well u have met me .,u think u coming to my wedding?.,very logical
 
Uzuri ni kimavi watu hatujui tuu...huyo Meghan na vigimbi vyake unaambiwa mwanaume akionja pale anatangaza ndoa fasta halafu matajiri tupu!

Huyo mganga wake alimtoa Nyakanang'ung'u nahisi, si kwa mibahati hii
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani jamani looohh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…