Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
97*Bora tubakie bongo tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaan watu wamelia na kuhuzunika 96 wamesahau wewe unalia leo
Hakp ka camilla sikajui lakin natamani nikanase vibaooo
Labda kwa kina papaaSuti kama hizi bongo zipo??
Tunamuua mwaka huu mwezi wa 9 tar 13hahaaa...bimkubwa hafi ..wala nini "" aisee...
hahaa acha masihara basii..." mnamuua nyie kina nani ?Tunamuua mwaka huu mwezi wa 9 tar 13
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Prince Harry kutoka Royal Family kaoa mwanamke ambae alishaolewaga inamaana si Bikra, sasa wewe endelea kutafuta Bikra wa kuoa.
Si wajua damu nzito kuliko maji na pia wangemuua charles ina maana malkia angepungukiwa nguvu flan kiutawala kwa hio skendo na watoto wangedata sana
Diana hakumalizwa kwa sababu hiyo mkuu, di alijua siri nyingi za hii famili na alijiapiza kuzianika kwahiyo ilikumnyamazisha ilibidi itengenezwe skendo coz di alikuwa mtu wa watu sana, ndiyo akatafutwa huyo mwarabu.Huyo Charles alikuwa na Camilla na mademu wengine kabla ya Diana!
Ukoo wa kifalme wakamleta Di akiwa bikra kana miaka 19 kakaolewa na huyo Charles, so obvious baada ya kumvunja bikra na kutosheka na papuchi, akaendelea kukulana na Camilla, so Camilla akawa anapambana ili aolewe na Charles, so drama mpaka Di akajua kuwa hapendwi!
Akaomba talaka akasepa, ndo akaanza kutembea na huyo mwarabu tajiri Dodi, ikabidi wammalize!
Haaahaaa. Hatarious!Yaan nami nimo tu nataka kupiga umbea wa kishua nimechoka na mama Diamond
KaribuuAsantee kwa kunieleweshaa
Hunishindi Mimi...Di kafa nikiwa mtoto kabisa, but kutokana na familia yangu kuifatilia hiyo familia nikajikuta napenda kujua mambo yao! Basi nikajiapiza siku nikikua nikawa na life langu ntawafatilia kila step[emoji23] [emoji23] [emoji23]hatari sana hao watu " waweza kukuta hata marhemu D ...walikuwa wanapiga nae soga vizuri tu " na kumwambia kuwa wana msupport " katika mahusiano yake mapya...kumbe wanajipnga kumtoa kafara"" daaahh yule Dada nilikuwaga nampenda mnoo aisee..."" dahh
Haaahaaa...nilikuwa hata sijaanza hata la kwanza! But nilimuona maza angu analengwa na machozi kuuliza naambiwa Di kafa, hata sikuwa naelewa!Bora tubakie bongo tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaan watu wamelia na kuhuzunika 96 wamesahau wewe unalia leo
Sio sababu....wazungu wanafiki mnoo, inaezekana sisi walimwengu tunazugwa na Harry anapotezwa maboya, ili hata siku kapotezwa hakuna hata dalili ya ushahidi or hisia!I hope not jamani!, Royal family naona wamemkubali vizuri. Mpaka baba mkwe wake kum walk down the aisle..
Usnitch kwenye ile kasri ndo shidahahaaa " kabibi kama kachawi "
Umeona eehUnafurahisha sana lakini! [emoji2]