Ndiyo ni kweli amefarikiKwa wale kipindi cha miaka 90 huyu mwanamieleka mtakuwa mshamfahamu kwa mieleka yake ya kuchana nguo mzuka ukimpanda.
Nimeona TMZ wametoa taarifa na TMZ kwa marekani kuna ukweli.
View attachment 3416991
Mwamba kafariki, nakumbuka tangu miaka ya 70/80
nilikuwa namuangalia akiwa ulingoni na kina Superfly Snuka
Kweli kifo hakipo mbali
ulikuwa unamuangalia wapi mkuu miaka 70/80Mwamba kafariki, nakumbuka tangu miaka ya 70/80
nilikuwa namuangalia akiwa ulingoni na kina Superfly Snuka
Kweli kifo hakipo mbali
DahKwa wale kipindi cha miaka 90 huyu mwanamieleka mtakuwa mshamfahamu kwa mieleka yake ya kuchana nguo mzuka ukimpanda.
Nimeona TMZ wametoa taarifa na TMZ kwa marekani kuna ukweli.
View attachment 3416991
Wrestling legend, Hulk Hogan has passed away report says medics were dispatched to his Clearwater, Florida home early Thursday morning. Operators stated it was regarding a Cardiac arrest according to TMZ.
View attachment 3417020