Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Randy Savage au sio?Naona kaenda kuungana na mwanae wa mega powers, mr macho man aliye fariki 2011.
#monster maniacs, #mega powers.
Kiranga, Kichuguu mna wakumbuka hawa.
View attachment 3417103
Miaka ya 70 nilikuwa nimeondoka nyumbani kabisaHii Platform inaongoza kwa Vyai na watu walongo zaidi.
Naam ndiyo yeye, mr macho manRandy Savage au sio?
Kuna vijana wanawajua kina Rock na wengine tunamjua baba yake Rocky JohnsonMimi nmemuona miaka ya 90 na kina Shawn Michaelβs Undertaker, Public Enemy, Ric Flair nk kipindi hi ho tuli kiwa tunaona kupi tia βsatelite dishesβ Yale maungo meusi World Cup 90 Italia tumeiona tukiwa nyumbani kupitia madishi so ni possible pia kuna watu waliwaona 70βs na 80βs
Huyu jamaa alituburudisha sana Wrestlemania. Kuna watoto walikuwa wanataka kuiga eti πππNaona kaenda kuungana na mwanae wa mega powers, mr macho man aliye fariki 2011.
#monster maniacs, #mega powers.
Kiranga, Kichuguu mna wakumbuka hawa.
View attachment 3417103
Mimi nili wahi kuiga ile spear ya Goldberg, nika ishia kumfanya mtu atapike kudadadeki ππ.Huyu jamaa alituburudisha sana Wrestlemania. Kuna watoto walikuwa wanataka kuiga eti πππ
Umkute huyu kakutana na Dusty Rhodes (mimi nilipokuwa ndogo nilikuwa namuita Dusty Rose ππ) utafurahi mwenyewe.
ulikuwa unamuangalia wapi mkuu miaka 70/80
live ulingoni au kwa TELEVISHENI
Hata wewe umeshtuka yani ITV ilikuwa miaka hiyo.
Natumai mmepata muongozo.....Hii Platform inaongoza kwa Vyai na watu walongo zaidi.
PoaMiaka ya 70 nilikuwa nimeondoka nyumbani kabisa
Humu kuna watoto na wazee pia
Au hautaki wazee wachangie?
Mbona kuishi nje wengi wanaishi nje na hatukuchaguliwa kwa upendeleo bali maisha tu
Kutoka wapi?Natumai mmepata muongozo.....
Na mwanae kafuata nyayo ila hakumfuata unene πHuyu jamaa alituburudisha sana Wrestlemania. Kuna watoto walikuwa wanataka kuiga eti πππ
Umkute huyu kakutana na Dusty Rhodes (mimi nilipokuwa ndogo nilikuwa namuita Dusty Rose ππ) utafurahi mwenyewe.
Mbona kafariki zamani huyo mwambaRiP mwamba Hulk Hogan
Macho-man atalia sana
Pia usisahau na ukweli mgumu kukubalika maana humu hata km unaongea kweli inaonekana ni porojoHii Platform inaongoza kwa Vyai na watu walongo zaidi.
Sioni shida katika hiko, kutokuamin sio dhambi ila kutudanganya hiyo ni jinai.Pia usisahau na ukweli mgumu kukubalika maana humu hata km unaongea kweli inaonekana ni porojo
Kina Ray mysterious na mwanae Ray mysterious Jr.Kuna vijana wanawajua kina Rock na wengine tunamjua baba yake Rocky Johnson
Au Dusty Rhodes ambae mwanae ni Cody Rhodes
Lakini hata wao wakizeeka watabishiwa hivi hivi π