Mwanamitindo nguli Flaviana Matata hatimae amekiri kutalikiana na aliyekuwa mume wake

Huyu mdada,itakuwa tu mwamba aliamua kupita nae ksbb ya jina. Kagumu
 
Haa
Hamna Ndoa Shida Tupu Ukiwaona Kwa Nje Sasa
 
Hayo niliyowaambia yanatosha kama wewe ni mtu mzima utaelewa!! Wala Flaviana hawezi kupinga hayo niliyoandika kwani ni kweli tupu!
Mmmmh mbona tena? anyway naheshimu maamuzi na majibu yako asante sana
 
Tuambieni kama JIMBO liko wazi. Anasemaje tumpelekee form za chama kipya?
 
Well said aisee Massawe anataka kukaa na mkewe wa enjoy mkewe anataka kuwa modal na kuzunguka hana hata mpango wa kuwa na familia
Unajua Flaviana wakati anaingia kwenye urembo alikuwa binti tu katoka shinyanga na ndoto zake za kuwa electrical engineer (kama sijakosea)

Unajua aliiweka ndoto zake pembeni baada ya kuona modelling inampeleka mbali na ikambidi aipambanie hadi kufika alipofika

Nina uhakika 100% Massawe wakati anaamua kumuoa alijua kabisa huyo ni beauty Queen tena akiwa katika peak ya career yake. Sidhani kama walijadiliana kuwa flavy aache shughuli zake ili awe home maker, Matter of fact Flavi alikiri kwenye kipindi cha mkasi kuwa jamaa anamsupport sana ndo maana ikawa rahisi kufunga ndoa.. so what's the point

Mnataka kumlaumu Flavy kwa kuwa Flavy au massawe kwa kuoa mke asiewezana nae au mjilaumu nyinyi kwa kuongelea issue pasipo kujua sababu
 
Vile nitakavyoipata mm hiyo number ndivyo na ww utaipata hiyo laki. Mm ndo nimeahidi hiyo laki, huna haja ya kuwa na wasiwasi maana hiyo number km unayo ipo tu kwenye simu lkn haikuingizii chochote ila Leo itakupatia laki. Njoo pm km kweli unayo!
Laki parefu jamani mweee. Ushapata namba au nikupatie nijishindie laki mie saa hizi?
 
Vijana wa humu kwa kuhukumu wameshindikana. Na hapo wanaandika mengi sababu tu wanaona Flavy sio level yao. Vijana wa JF wana tatizo na pisi kali na wadada celebrities. Yani ukishakua maarufu tu tayari we una shida
 
Hongera zake.

Ni bora kuishi kwa furaha baada ya talaka kutoka ndoa isiyo na furaha, kuliko kuishi katika ndoa isiyo na furaha kwa sababu ya kuogopa watakachosema watu.
 
Wazo la kipuuzi kabisa hili....
ndoa inatunzwa na mwanamke ilo ni swala la nature, tamaduni na imani ndo maana mke anaolewa mume anaoa.
2.swala la ndoa si lazima idumu ndio huo upumbavu wenyewe kama si lazima kwanini msiishi tuu bila ndoa?? Tatizo wanawake mmesahau sehemu yenu kwa kisingizio cha usawa
 
Chidi mapenzi alitalikiana na Shamsa mapema asubuhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…