Mwanamitindo nguli Flaviana Matata hatimae amekiri kutalikiana na aliyekuwa mume wake

Haya mwerevu.... huu ushauri kafunde wanao wa kike
 
Kuoa wanawake wanaojiita wanaharakati ni tatizo sana maana ujuwaji mwingi sana.
Na hawa n baadhi Yao wanaongoza
Kuvunja ndoa nying

Dinamarios anatanyaza efm
Joycekiria huyu alikua RfA

Hawa wote ndo ziliwashinda yani
 
W


Wote wanaumia...... ila kuna wengi wa wale wanaoumia na kuishia kuongea; na wale wanaoumia na kuishia kujiua na kuua kwa gunia2 za mkaa
Sasa wote ngoma droo,rejea tukio lililotokea mwaka huu la Grace Munishi,aliyemchoma jamaa ndani ya nyumba
 
Nimesoma Mara tatu ili nielewe
Asante sana kwakuniongezea
 
Ndiyo maana naogopa sana mtoto wangu wa like kuwa celebrity in future
 
Nani anataka pisi ambayo haitaki kuzaa
 
Sasa mchaga anataka. Mtoto... Na huyo kimbau nae anataka kutembea mwendo wa madoido mpk career yake ya kuyumba jukwaani iishe sasa unadhani Kuna kitaendelea. By the way si nilisikiaga kuwa AY alikuwa anapiga kipindi akiwa ndoani??? Hawa viumbe wakishakuwa maarufu basi.... Ndoa zinawashinda... Maana nasikia hata xtina shusho nae ndoa yake chali sema ndo wanafanya siri[emoji41][emoji41]
 
Hivi wazee wetu waliwezaje kuishi kwenye ndoa moja tu maisha yao yote tena kwa mke/mume wa kuchaguliwa?
Siku hizi ukifikisha miaka 5 kwenye ndoa inabidi ujipongeze kwa kuchepuka kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…