Yeah ndio inavyokuwaga, mzinguaji huwa anaishia kulia lia na kupagawa kama faiza wa jongweWapo wanawake ndoa ikivunjika wanapiga kimya wanaume ndo wanalalamika.
Kisaikolojia mlalamishi ni mawili aidha anajitetea ili asilaumiwe ila anajua kosa lake au alikuwa akimkosea mwenzake kwa makusudi bila kujali sasa mwenzake kaamua kuchukua hatua yeye anapaniki maana hakujiandaa kuachwa.
Haikua siri sema hakuweka public tu..vyombo vya udaku vilikua vinaogopa kushtakiwab pia maana mambo yalikua kimya kimya!Ndoa ilizimika kama mshumaa, pole zao....alijitahidi kufanya siri
Wiki 2!!!!!!!!Ndoa nyingi siku hizi zimekua hazidumu
Nina mtu wangu wa karibu alioa ndoa yake ilidumu wiki2 na nusu tuu, tena wanandoa walifahamiana kwa miaka6 na walikua marafiki wazuri tuu.
Flaviana analo lililomkuta jamani, hapa analaumiwa sababu tuu ya umaarufu wake.
Haya mambo haya....sijui hata walishindwana nini, mbona flavy anaonekanaga tu ni malkia wa nguvu au ni mwamba? ๐Haikua siri sema hakuweka public tu..vyombo vya udaku vilikua vinaogopa kushtakiwab pia maana mambo yalikua kimya kimya!
Ndoa za mastaa wanawake na mashabiki wao wanaowafuatilia kila wakati huwa hazidumu..!! SABABU KUBWA NI UBEIJING... Kudai usawa ndo hupelekea kuumia sana kwa ndoa zao.. Na hii hutokana na kwamba wanajiona wanaweza bila wanaume... Kuna msemo..Katika mtandao wa kijamii wa Instagram, mwanamitindo, mwanaharakati ambae pia ni mfanyabiashara Flaviana Matata ameonekana kukiri ndoa yake ilikwishavunjika. Mara nyingi watu wamekua wakijiuliza kwanini haonekani na mume wake, wengine wakiuliza alipo mumewe.
Ni wazi kwamba ndoa nyingi za mastar ulimwenguni hua hazidumu, hivi tatizo hua ni nini haswa??
Kwa upande wa huyu mlimbwende wetu Flaviana Matata, je kuishi mbali na mume muda mrefu ndo kulipelekea ndoa kuvunjika??
Huyo mume wake yupo wapi kwa Sasa?? Je amekwishaoa?
View attachment 2014211
View attachment 2014209
Anapumuliwa?Tatizo wachaga wengi wa huko mambele huwa machoko! Unakuta jamaa ana hela ila anapumuliwa kisogoni na wajuba au anakuwa mende๐ !
Mke akijua lazma mtemane tu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa cheki wanavyo haha na kulizwa na hizo ndoa?Maisha mengine ya ki upinde upinde[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si kila mtu ana sifa ya kuoa/kuolewa; wengine wameumbwa ili wazeeke peke yao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu demu anakoboana hivyo ni ngumu kukaa kwenye ndoa na mwanaume, siku hizi wana genge lao wanafanyaga house party weekend humo ndani wanakoboana hatari pia wananafndisha mabinti wadogo kukoboana kwa gia ya kujifanya mafeminist
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo wachaga wengi wa huko mambele huwa machoko! Unakuta jamaa ana hela ila anapumuliwa kisogoni na wajuba au anakuwa mende[emoji28]!
Mke akijua lazma mtemane tu..
Mwanamke mwembaba kma frem ya mlangoLabda jamaa alitaka mkewe anenepe awe na kijungu. AkakaZa
[emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa cheki wanavyo haha na kulizwa na hizo ndoa?
Mbna mie nipo kwenye ndoa halali kabisa, japo ya upinde upinde,
Ila ndoa tamu bhana, weuweeeeeeeh
Mali ya mudi alienyima msaada hamisi mapikipikiNdoa ilizimika kama mshumaa, pole zao....alijitahidi kufanya siri
Huyo ni kada wa ccm,alosto inamsumbuaJamaa atakuwa amechanga desa,Dina amezaa na Ncha Kali na hakuwahi kuolewa
We tako sanaa kumbeTatizo wachaga wengi wa huko mambele huwa machoko! Unakuta jamaa ana hela ila anapumuliwa kisogoni na wajuba au anakuwa mende[emoji28]!
Mke akijua lazma mtemane tu..
Ndoa hufungwa kuanzisha familia kwa sisi waafrika,I am not well versed with flavy story.
But judging from your analysis, huenda you kinda bias on your conclusion referring "Massawe alioa mke asiyewezana".
Kama Massawe alimkubali Flavy as a beauty queen to the extent of supporting her, maana yake tangu mwanzo jamaa alimpenda Flavy jinsi alivyo, alikuwa tayari kukabiliana na athari za kumpenda jinsi alivyo na pia alikuwa tayari kuwa pale kwa ajili ya Flavy.
Objectively speaking its illogical kuhitimisha kilichotokea huenda ni matokeo ya Massawe kutokubaliana na alichokubaliana nacho tangu mwanzo.
Vilevile kama Flavy hakuwa na pingamizi la kuwa anavyotaka, why would would she depart ili kuwa anavyotaka?
Kuna mawili, huenda Flavy amekuwa akitoa ushuhuda usio wa kweli au Mkuu kuna hitimisho lingine unalijua ila umetuficha makusudi.
๐๐๐๐๐๐ wachaga wa mamtoni wanazingua!We tako sanaa kumbe
Sema mchaga yule sio kila mchaga anatabia kama zako za kutwezwaa uji wa dona
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Tunampango wa kuliingiza hili katika katiba ya wananchi ๐ tuipiganie katiba mpyaJamaa alishindwa kabisa kula mifupa kaamua aachie ngazi
Ifiike wakati wanandoa wakiachana warudishe michango waliyochangisha
Wewe jamaa huwa unageneralize sana inapokuja ishu mbaya inayohusu kabila la wachaga..Tatizo wachaga wengi wa huko mambele huwa machoko! Unakuta jamaa ana hela ila anapumuliwa kisogoni na wajuba au anakuwa mende[emoji28]!
Mke akijua lazma mtemane tu..