Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Asee mtani usimaindi bana mambo madogo hayaWewe jamaa huwa unageneralize sana inapokuja ishu mbaya inayohusu kabila la wachaga..
Wachaga walikufanya nini wewe mpare wa milimani??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asee mtani usimaindi bana mambo madogo hayaWewe jamaa huwa unageneralize sana inapokuja ishu mbaya inayohusu kabila la wachaga..
Wachaga walikufanya nini wewe mpare wa milimani??
Binamu umeniacha kwenye mataaMali ya mudi alienyima msaada hamisi mapikipiki
Maisha ni kuishi na kuchagua na pia ni makubaliano... ndo maana kuna mama wa nyumbani, walimu, manesi, wafanyabiashara n.k.... sasa wewe kama unataka huduma zote hizo chagua wa kufanana nawe. Kwa mfano huwezi kwenda kuoa mwanamke mpishi wa maharusi au mshereheshaji ukategemea upate huduma zote na hamkua na makubaliano mkianza maisha pamoja ataacha kazi zake.Trayvess Daniel umeupata ujumbe huo?
Ushaanza habari zako za kisnge kutangaza ushg 😏😏😏😏 unaboa sio sifa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa cheki wanavyo haha na kulizwa na hizo ndoa?
Mbna mie nipo kwenye ndoa halali kabisa, japo ya upinde upinde,
Ila ndoa tamu bhana, weuweeeeeeeh
Kwa wanawake wetu hawa wa kisasa hili hawawezi kukuelewa.....Ndoa zina kanuni constant milele, hakuna namna inaweza kubadilisha hiyo asili.
Watu maarufu na wenye kipato huwa wanajichanganya na kuja na kanuni nyingine kwenye ndoa zao,wanapoteza kimoja wapo.
Umeolewa usiku uko kwenye event za kibiashara na watu wengine.
Umeolewa jamaa anakula peke yake mgahawani au home peke yake.
Umeolewa watoto na mume wanahudumiwa na wasaidizi wa kazi.
Kuwa mke wa mtu ni fani nyingine ambayo inahitaji muda maalum kwenye maisha ya mwanamke sio sehem tu ya muda wake.
Inaelekea bwana massawe alichoka kuchezea mifupaKama girl kenyewe hakana nyama nyama
Nyie ni majambazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe jamaa huwa unageneralize sana inapokuja ishu mbaya inayohusu kabila la wachaga..
Wachaga walikufanya nini wewe mpare wa milimani??
[emoji23][emoji23]Russell Simon yule promota wake yule alikua anamgonga sidhani kama waliachana..then maisha ya umodo kuolewa ki mtihani saana wanatumika mnoo na wale maboss zao labda waoane wenyewe kwa wenyewe mamodo kwa mamodo ila mume akiwa sio modo ni mtihani mtupu!angalia akina tyra banks,Naomi, Gigy Hadid,Bella Hadid,na wengineo...Flavy alitaka kuolewa ili awakomeshe wabongo kumbe ndo kwanza carrier yake inaanza ni ngumu sana kuishi na mme haswa wa kibongo kama wazungu wenyewe wanashindwana daily!Haya mambo haya....sijui hata walishindwana nini, mbona flavy anaonekanaga tu ni malkia wa nguvu au ni mwamba? [emoji16]
Exactly yaani uko sahihi sana kaka!Nimeona Leonardo Di Caprio amemuowa Angelina Jolie, Will Smith na Jada Pinket, nadhani hawa watu wanatakiwa kuowana wenyewe.
Flaviana alitakiwa kuolewa na mtu kama Hasanali yani mambo yao ni yaleyale, huku Luiza Mbutu wa Twanga yupo na Farijala Mbutu mpiga gitaa, wote kazi zao kukesha kurudi nyumbani usiku mkubwa.
Ukijichanganya kujiingiza kwa hawa watu wakati wewe upo nje ya mfumo wao umeumia.
Sasa hiyo carrier haina kikomo? Ataendelea kuwa modo hata akiwa bibi kizee? Anyway huenda ndoa nayo sio kipaumbele vile vile[emoji23][emoji23]Russell Simon yule promota wake yule alikua anamgonga sidhani kama waliachana..then maisha ya umodo kuolewa ki mtihani saana wanatumika mnoo na wale maboss zao labda waoane wenyewe kwa wenyewe mamodo kwa mamodo ila mume akiwa sio modo ni mtihani mtupu!angalia akina tyra banks,Naomi, Gigy Hadid,Bella Hadid,na wengineo...Flavy alitaka kuolewa ili awakomeshe wabongo kumbe ndo kwanza carrier yake inaanza ni ngumu sana kuishi na mme haswa wa kibongo kama wazungu wenyewe wanashindwana daily!
Watazaa au kufikiria kuolewa at late 40's to 50 hukoo kama kina Naomi,we huoni kina Tyra mpk Leo I think hawana watoto...wako na mahusiano tu!Sasa hiyo carrier haina kikomo? Ataendelea kuwa modo hata akiwa bibi kizee? Anyway huenda ndoa nayo sio kipaumbele vile vile
Umesema Happy nimekumbuka, hivi yule alizaa na nani? Ana mtoto mzuri sana....baby CairoWatazaa au kufikiria kuolewa at late 40's to 50 hukoo kama kina Naomi,we huoni kina Tyra mpk Leo I think hawana watoto...wako na mahusiano tu!
Then Flavy alitaka kuolewa ili kukomesha wabongo nafikiri au kutoa gundu tu!Bora Magese mwenzie kazaa mtoto hana time ya ndoa!Tausi Likokola nae nafikiri hana Mme pia!
Ila ukiwa modo ni ngumu kuanzisha familia!
Wale watoto wa IVF nafikiri maana yule pale alikua na endometriosis akaambiwa hatoweza pata mtoto kwa njia ya kawaida...!!!kuna sperm donors ulaya hukoo kanunua mbegu kapandikiza!Umesema Happy nimekumbuka, hivi yule alizaa na nani? Ana mtoto mzuri sana....baby Cairo
Miaka mingi iliyopita nilikuwaga na mmoja huyo alinipenda kiukweli na alitaka nimuowe kabisa.....Sasa hiyo carrier haina kikomo? Ataendelea kuwa modo hata akiwa bibi kizee? Anyway huenda ndoa nayo sio kipaumbele vile vile
Mmmh hivi watoto wa hivo masikini, ndio akija kuulizwa kuhusu mshua? MmhWale watoto wa IVF nafikiri maana yule pale alikua na endometriosis akaambiwa hatoweza pata mtoto kwa njia ya kawaida...!!!kuna sperm donors ulaya hukoo kanunua mbegu kapandikiza!
😂😂😂 Mtoto ana kucha za kukuondolea stress....Miaka mingi iliyopita nilikuwaga na mmoja huyo alinipenda kiukweli na alitaka nimuowe kabisa.....
Lakini imagine kwanza hapandi daladala na kipindi hicho hakuna bodaboda.
Yale makucha yake ya kutekenyea dushe hawezi kufuwa anataka ninunuwe laundry mashine,
Mbaya zaidi nilimpora mzungu na yule mzungu kwa yule mtoto alikuwa kakolea, basi ili nisije kupata strock mbeleni nilipiga bonge la Uturn roho iliniuma lakini nikazoea na kusahau, ndio maana leo nikiona issue kama hizi najuwa wazi wahusika waliujuwa ukweli from the beginning lakini ubishi tu.
wabongo tunapewa title tu, story tunamalizia wenyewe brother 😁😁"Watu wanachukulia career ya Flavy kama ndio sababu bila hata kujua sababu husika"
Mkuu huku ni kutaka Watz wasiwe watz which is against your values 🤣...
Ni jadi yetu kutaka kudadavua mambo kwa uhakika wote bila kutaka kujua sabb husika ya jambo.
I guess it's not fair either kuonesha concern ya sisi kutotaka kujua sabb husika.
around 2007 kabla maria sarungi hajamuingiza kwenye hizo fani za mjiniUna kumbuka ni mwaka gani ameanza ametoka shinyanya na kuanza mambo ya models maana naona watu wansmwita binti wakati ka umri kametia nanga tangu nianze kumsikia sio leo
Watawaambia ukweli si unajua analelewa kizunguzungu yule!wenzetu waelewa...kimbembe wasukuma wetu bongo...umuambie amezaliwa kupitia chupa[emoji1][emoji16][emoji16][emoji23]baba hamjuii!!Mmmh hivi watoto wa hivo masikini, ndio akija kuulizwa kuhusu mshua? Mmh