Mwanamke ajiua na wanawe (4) kwa sumu kisa mke mwenza kajengewa nyumba

Siungi mkono,,,,ila huyo mama hadi kuamua kufa na watoto wake labda hakutaka wateseke,baba alikua hawahudumii labda ni manyanyaso tu,akiangalia familia anayotoka haina msaada sio upande wake wala wa mume wake,kaona watoto wasiwe chokoraa........ aaaarrrggghhh 😢😢
 
Lol.

Chukua hiyo.

#Majina ya watoto waliofariki ni Sengi James (miaka 8), Simon James (miaka 6), Elisha James (miaka 3) na Kashinje James (miezi 7)
Majina yameeditiwa ni hujuma tu za makobazi ionekane hao ni wanaswara
 
Hiyo dhambi ya mauaji ya binadamu wanne huyo mama sijui anaenda kujibu nini? Yaani amekimbia mateso duniani ananyoosha straight jehanam 🙄
 
Huyo mwanamke atakuwa na asili ya Burundi au Rwanda,wanawake watanzania hizo tabia hawana kabisa

Mwanamke akiachwa huwa hawaui watoto kwa kukosana au kutelekezwa na mume au mzazi mwenzie hupambana kulea watoto
 
Hiyo dhambi ya mauaji ya binadamu wanne huyo mama sijui anaenda kujibu nini? Yaani amekimbia mateso duniani ananyoosha straight jehanam 🙄
aaaaaah kwakweli atakua anajutia pia huko aliko
 
Mama yangu mwenyewe alifanya hivyo hivyo kwangu na Kwa Ndugu zangu tukiwa na Umri kama huo, Kwa Idadi kama hiyo....!

Bahati nzuri kwetu hakuna aliyepoteza Maisha zaidi ya kulazwa Hospital.........!

Fear Women....!!!
Aisee
 
Wanawake hua wana maamuzi ya ajabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…