Mwanamke ajiua na wanawe (4) kwa sumu kisa mke mwenza kajengewa nyumba

Mwanamke ajiua na wanawe (4) kwa sumu kisa mke mwenza kajengewa nyumba

Nimesikitika sana,huyu bibie alikua na watoto wanne ila akaona bora ajifie na wanae sababu aliona dunia haina nafasi tena kwao. Katelekezwa kihisia zaidi kwa mtu aliyetegemea atakua ngome yake.. umemzalisha watoto wanne lakini bafo unahaha kiholela.

Hii ni unyanyasaji wa hali ya juu. Wanaume wengi wa leo wanataka kuwa na familia lakini hawana uwezo wa kiakili, kihisia wala kimaadili kuihudumia. Wanataka wake wawili au watatu, lakini hawana hata uwezo wa kumpa mmoja heshima. Wanakuwa ni chanzo cha maumivu, huzuni, na sasa hadi vifo. Huyu jamaa awajibishwe sio swala la ndoa tu ni suala la kuharibu maisha ya watoto watano.
Naunga mkono hoja.
 
Mama yangu mwenyewe alifanya hivyo hivyo kwangu na Kwa Ndugu zangu tukiwa na Umri kama huo, Kwa Idadi kama hiyo....!

Bahati nzuri kwetu hakuna aliyepoteza Maisha zaidi ya kulazwa Hospital.........!

Fear Women....!!!
Poleni sana. Kuna yule mwingine tena marehemu sasa, mama Liundi. Alikufa nadhani mtoto mmoja (sina uhakika) na yeye na mwanae (yule Taji Liundi) wakapona.
 
Hajazidi upumbavu wa huyo baba,
Coca nikuulize ,hivi unaweza kijiua na kuua innocents children kwakuwa tu mume kajenga kwingine.

Yaani ujidhulumu uhai Kwa ishu ya kijinga, kwanini asingeenda mahakamani,
 
Coca nikuulize ,hivi unaweza kijiua na kuua innocents children kwakuwa tu mume kajenga kwingine.

Yaani ujidhulumu uhai Kwa ishu ya kijinga, kwanini asingeenda mahakamani,
Ukiniuliza mie binafsi, siwezi toa majibu, couz sijakutwa na hiyo hali.

Mbna wanaume mnauaga wake zenu kisa usaliti, huko mahakamani hakupo?

Ni kwanini mnapenda kuji defend nyie wakojojaji mkiwa mmesimama? Lol
 
Kamanda Abwao amesema kuwa mume wa marehemu anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya uchunguzi wa kina ili kubaini mazingira halisi ya tukio hilo, ikiwa ni pamoja na nafasi yake katika muktadha wa mgogoro wa kifamilia uliokuwepo kabla ya tukio
Asiruhusiwe kuoa tena huyo
 
Back
Top Bottom