Nije kuambiwa napigana na watotoPanga sehemu tukutane tuzichape live live
Coca watu tunatofautiana mtazamo,kulingana na makuxoUkiniuliza mie binafsi, siwezi toa majibu, couz sijakutwa na hiyo hali.
Mbna wanaume mnauaga wake zenu kisa usaliti, huko mahakamani hakupo?
Ni kwanini mnapenda kuji defend nyie wakojojaji mkiwa mmesimama? Lol
Coca,watu tunatofautiana mtazamo kulingana na mazingira na makuzi yetu,mara nyingi Mimi binafsi siwezi kujaribu kuua au kujiua,lakini just imagine mtu anamjengea bimdogo anamwachwa mtu aliyezaa naye watoto wote hao,huo ni upumbavu ulioje.Ukiniuliza mie binafsi, siwezi toa majibu, couz sijakutwa na hiyo hali.
Mbna wanaume mnauaga wake zenu kisa usaliti, huko mahakamani hakupo?
Ni kwanini mnapenda kuji defend nyie wakojojaji mkiwa mmesimama? Lol
Hapana nakuja n wenzangu ili utueleze vzr maana ya kobazi..Nije kuambiwa napigana na watoto
Serikali ishike lipi wakati wao wanawake ndo wanataka mambo yawe sawa kwa sawa.
Means kama ni kuhudumia familia iwe 50 kwa 50.
Nani kasema kosa ni la watoto?tunaongelea watoto hapa, wao kosa lao ni lipi ?
Sasa si ndo kile nilicho kisema mie hapa, kila mtu ana namna ya kulipokea na kulitafakari, na afanye nn juu ya jambo kutwa.Coca watu tunatofautiana mtazamo,kulingana na makuxo
Coca,watu tunatofautiana mtazamo kulingana na mazingira na makuzi yetu,mara nyingi Mimi binafsi siwezi kujaribu kuua au kujiua,lakini just imagine mtu anamjengea bimdogo anamwachwa mtu aliyezaa naye watoto wote hao,huo ni upumbavu ulioje.
Ni kama wanawake ambao ana mume anamridhisha anampa vitu vingi lakini anaenda kugawa uchi Kwa msela asiye na nyuma wala mbele
Bila shaka hujui maana ya uke wenza?Ingekua ndoa ya kiislam watu wangelaumu uke wenza.
Mama yako bado yuko hai?Mama yangu mwenyewe alifanya hivyo hivyo kwangu na Kwa Ndugu zangu tukiwa na Umri kama huo, Kwa Idadi kama hiyo....!
Bahati nzuri kwetu hakuna aliyepoteza Maisha zaidi ya kulazwa Hospital.........!
Fear Women....!!!
Naunga mkono hojaPepo la mauaji lililoanzishwa na CCM linaendelea kuangamiza nchi
Wake wanakuja na baraka😊Mtu masikini unaoa wake wengi wa kazi gani?
Mtu anajifanya kiboro dinda na pesa hakuna!! Anazalisha mwanamke kila mwaka huku amebeba kende tu.
Maisha ya siku hizi utulivu kwenye ndoa/familia unaletwa na pesa kwa kiasi kikubwa(unayetaka kubisha tuliza kalio lako)
Na hao maskini ndio mtaji wa "mitano tena"
Endelea kujidanganya sio kwa miaka hii.Wake wanakuja na baraka😊
Haya jamaa,ila uwakanye na wanaowaita wenzao makafiriHapana nakuja n wenzangu ili utueleze vzr maana ya kobazi..
Hi ni onyo acha kutumia hilo jina
Naomba iwe mwisho kutumia hili neno...Haya jamaa,ila uwakanye na wanaowaita wenzao makafiri
Naomba iwe mwisho kutumia hili neno...
Weka ahadi
Je wewe na wenzako mtaacha Kuwaita manaswara makafiri? Nawe ahidi sio unanishupalia mimintuNaomba iwe mwisho kutumia hili neno...
Weka ahadi hapa