Mwanamke ajiua na wanawe (4) kwa sumu kisa mke mwenza kajengewa nyumba

Mama yako bado yuko hai?
If Yes huwa unamfikiriaje?
Alifariki zamani sana, Huwa namfikilia na Huwa sipati Picha....!
Na wakati anatuhadithia alivyofanya Mimi kama Mimi sikua na kumbukumbu coz nilikua mdogo, sikuwahi kulichukulia Kwa uzito, ila nilipokua mkubwa ikawa inanifikirisha sana, wakati huo yeye alishafariki.....! Sikuwahi kumchukia.
 
Katika tukio la kusikitisha na kuzua maswali mengi kwa jamii, mwanamke mmoja aitwaye Kangw’a Tungu Mahigi (25), mkazi wa Kijiji cha Lugubu, Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, amefariki dunia kwa kunywa sumu aina ya Ruruka 80 WDG, inayotumika kuua viwavi jeshi vinyamizi — huku pia akiwanywesha watoto wake wanne, ambao wote wamepoteza maisha

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, SACP Richard Abwao, chanzo cha tukio hilo ni mgogoro wa kifamilia, ambapo marehemu alikuwa mke mkubwa katika ndoa ya ‘wake wengi’, na alikuwa akilalamika kunyimwa huduma sawa na mke mdogo, ikiwemo mume wake kujenga nyumba kwa mke mdogo huku yeye akikosa makazi bora

Majina ya watoto waliofariki ni Sengi James (miaka 8), Simon James (miaka 6), Elisha James (miaka 3) na Kashinje James (miezi 7)

Kamanda Abwao amesema kuwa mume wa marehemu anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya uchunguzi wa kina ili kubaini mazingira halisi ya tukio hilo, ikiwa ni pamoja na nafasi yake katika muktadha wa mgogoro wa kifamilia uliokuwepo kabla ya tukio

Duuh mambo ya mitala noma sana!
 
serikali ipitishe sheria ya kumlazimisha mwanaume aliyeoa na mwenye mtoto/ watoto kuwahudumia kama si kwa hiari basi nguvu itumike kwa mwanaume kukatwa asilimia ya kipato chake kwa lazima na kuipa familia …
Kama mwanamke ndio anamiliki uchumi,Sheria isemeje mdau?
 
Nilikua mtoto wa around 3 - 4 years old, sikua na kumbukumbu nzuri zaidi ya yeye Mama kusema aliwahi kutunywesha Sumu wanae wote, na akasema sababu Kwa Nini....!?

So sikuwahi kumchukia Wala sikuweka kitu Moyoni, tu mpaka kesho Huwa inanifikirisha.
Pole sana kumbe mazito nawe yalishakupata
 
Alifariki zamani sana, Huwa namfikilia na Huwa sipati Picha....!
Na wakati anatuhadithia alivyofanya Mimi kama Mimi sikua na kumbukumbu coz nilikua mdogo, sikuwahi kulichukulia Kwa uzito, ila nilipokua mkubwa ikawa inanifikirisha sana, wakati huo yeye alishafariki.....! Sikuwahi kumchukia.
Pole sana
 
Katika tukio la kusikitisha na kuzua maswali mengi kwa jamii, mwanamke mmoja aitwaye Kangw’a Tungu Mahigi (25), mkazi wa Kijiji cha Lugubu, Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, amefariki dunia kwa kunywa sumu aina ya Ruruka 80 WDG, inayotumika kuua viwavi jeshi vinyamizi — huku pia akiwanywesha watoto wake wanne, ambao wote wamepoteza maisha

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, SACP Richard Abwao, chanzo cha tukio hilo ni mgogoro wa kifamilia, ambapo marehemu alikuwa mke mkubwa katika ndoa ya ‘wake wengi’, na alikuwa akilalamika kunyimwa huduma sawa na mke mdogo, ikiwemo mume wake kujenga nyumba kwa mke mdogo huku yeye akikosa makazi bora

Majina ya watoto waliofariki ni Sengi James (miaka 8), Simon James (miaka 6), Elisha James (miaka 3) na Kashinje James (miezi 7)

Kamanda Abwao amesema kuwa mume wa marehemu anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya uchunguzi wa kina ili kubaini mazingira halisi ya tukio hilo, ikiwa ni pamoja na nafasi yake katika muktadha wa mgogoro wa kifamilia uliokuwepo kabla ya tukio

min -me ,
Msukuma huyu min_me 😎

Majina ya watoto waliofariki ni Sengi James (miaka 8), Simon James (miaka 6), Elisha James (miaka 3) na Kashinje James (miezi 7)

Aisee noma sanaa
 
Kanda ya Ziwa hii, kwa kweli inasikitisha, Usikute huyo mke mwenza ndiye aliyecheza huu mchezo kimiujiza ili mwenzake na wanawe wajiue ili mume arithi yeye. Wanaume tunapiganiwa sana, tujilinde jamani.
 
Wanawake wanauwezo mkubwa mnoo kisaikolojia ila hushindwa kuutumia linapokuja suala la mapenzi. Na udhaifu wao mkubwa upo hapo.
Lakini mwanamke akiamua kumuendesha kiumbe kinachoitwa mwananume mbona dunia kitaiona ya ukakasi
 
Back
Top Bottom