Mwanamke ajiua na wanawe (4) kwa sumu kisa mke mwenza kajengewa nyumba

Naunga mkono hoja.
 
Mama yangu mwenyewe alifanya hivyo hivyo kwangu na Kwa Ndugu zangu tukiwa na Umri kama huo, Kwa Idadi kama hiyo....!

Bahati nzuri kwetu hakuna aliyepoteza Maisha zaidi ya kulazwa Hospital.........!

Fear Women....!!!
Poleni sana. Kuna yule mwingine tena marehemu sasa, mama Liundi. Alikufa nadhani mtoto mmoja (sina uhakika) na yeye na mwanae (yule Taji Liundi) wakapona.
 
Hajazidi upumbavu wa huyo baba,
Coca nikuulize ,hivi unaweza kijiua na kuua innocents children kwakuwa tu mume kajenga kwingine.

Yaani ujidhulumu uhai Kwa ishu ya kijinga, kwanini asingeenda mahakamani,
 
Coca nikuulize ,hivi unaweza kijiua na kuua innocents children kwakuwa tu mume kajenga kwingine.

Yaani ujidhulumu uhai Kwa ishu ya kijinga, kwanini asingeenda mahakamani,
Ukiniuliza mie binafsi, siwezi toa majibu, couz sijakutwa na hiyo hali.

Mbna wanaume mnauaga wake zenu kisa usaliti, huko mahakamani hakupo?

Ni kwanini mnapenda kuji defend nyie wakojojaji mkiwa mmesimama? Lol
 
Kamanda Abwao amesema kuwa mume wa marehemu anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya uchunguzi wa kina ili kubaini mazingira halisi ya tukio hilo, ikiwa ni pamoja na nafasi yake katika muktadha wa mgogoro wa kifamilia uliokuwepo kabla ya tukio
Asiruhusiwe kuoa tena huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…