Alifariki zamani sana, Huwa namfikilia na Huwa sipati Picha....!Mama yako bado yuko hai?
If Yes huwa unamfikiriaje?
Huyo siyo kobazi,kobazi hata ukiowa wake wanne hakuna kesi washazoea.Tatizo nyie sasa wakina kipaimara.Makobazi bwana hivi hamuwezi kuishi na mke mmoja mnataka hadi mmpite mudi kwa wingi wa viburudisho
Sana...!Wanawake hua wana maamuzi ya ajabu sana
Duuh mambo ya mitala noma sana!Katika tukio la kusikitisha na kuzua maswali mengi kwa jamii, mwanamke mmoja aitwaye Kangw’a Tungu Mahigi (25), mkazi wa Kijiji cha Lugubu, Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, amefariki dunia kwa kunywa sumu aina ya Ruruka 80 WDG, inayotumika kuua viwavi jeshi vinyamizi — huku pia akiwanywesha watoto wake wanne, ambao wote wamepoteza maisha
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, SACP Richard Abwao, chanzo cha tukio hilo ni mgogoro wa kifamilia, ambapo marehemu alikuwa mke mkubwa katika ndoa ya ‘wake wengi’, na alikuwa akilalamika kunyimwa huduma sawa na mke mdogo, ikiwemo mume wake kujenga nyumba kwa mke mdogo huku yeye akikosa makazi bora
Majina ya watoto waliofariki ni Sengi James (miaka 8), Simon James (miaka 6), Elisha James (miaka 3) na Kashinje James (miezi 7)
Kamanda Abwao amesema kuwa mume wa marehemu anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya uchunguzi wa kina ili kubaini mazingira halisi ya tukio hilo, ikiwa ni pamoja na nafasi yake katika muktadha wa mgogoro wa kifamilia uliokuwepo kabla ya tukio
Kama mwanamke ndio anamiliki uchumi,Sheria isemeje mdau?serikali ipitishe sheria ya kumlazimisha mwanaume aliyeoa na mwenye mtoto/ watoto kuwahudumia kama si kwa hiari basi nguvu itumike kwa mwanaume kukatwa asilimia ya kipato chake kwa lazima na kuipa familia …
Pole sana kumbe mazito nawe yalishakupataNilikua mtoto wa around 3 - 4 years old, sikua na kumbukumbu nzuri zaidi ya yeye Mama kusema aliwahi kutunywesha Sumu wanae wote, na akasema sababu Kwa Nini....!?
So sikuwahi kumchukia Wala sikuweka kitu Moyoni, tu mpaka kesho Huwa inanifikirisha.
Pole sanaAlifariki zamani sana, Huwa namfikilia na Huwa sipati Picha....!
Na wakati anatuhadithia alivyofanya Mimi kama Mimi sikua na kumbukumbu coz nilikua mdogo, sikuwahi kulichukulia Kwa uzito, ila nilipokua mkubwa ikawa inanifikirisha sana, wakati huo yeye alishafariki.....! Sikuwahi kumchukia.
Kina James na ukobazi wapi na wapi? Acha chukiMakobazi bwana hivi hamuwezi kuishi na mke mmoja mnataka hadi mmpite mudi kwa wingi wa viburudisho
min -me ,Katika tukio la kusikitisha na kuzua maswali mengi kwa jamii, mwanamke mmoja aitwaye Kangw’a Tungu Mahigi (25), mkazi wa Kijiji cha Lugubu, Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, amefariki dunia kwa kunywa sumu aina ya Ruruka 80 WDG, inayotumika kuua viwavi jeshi vinyamizi — huku pia akiwanywesha watoto wake wanne, ambao wote wamepoteza maisha
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, SACP Richard Abwao, chanzo cha tukio hilo ni mgogoro wa kifamilia, ambapo marehemu alikuwa mke mkubwa katika ndoa ya ‘wake wengi’, na alikuwa akilalamika kunyimwa huduma sawa na mke mdogo, ikiwemo mume wake kujenga nyumba kwa mke mdogo huku yeye akikosa makazi bora
Majina ya watoto waliofariki ni Sengi James (miaka 8), Simon James (miaka 6), Elisha James (miaka 3) na Kashinje James (miezi 7)
Kamanda Abwao amesema kuwa mume wa marehemu anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya uchunguzi wa kina ili kubaini mazingira halisi ya tukio hilo, ikiwa ni pamoja na nafasi yake katika muktadha wa mgogoro wa kifamilia uliokuwepo kabla ya tukio
Sawa jamaaKina James na ukobazi wapi na wapi? Acha chuki
Mi itakua mwisho naapa humu..Je wewe na wenzako mtaacha Kuwaita manaswara makafiri? Nawe ahidi sio unanishupalia mimintu
Then We have an accordMi itakua mwisho naapa humu..
Nikikukuta tena unaita wenzako makobazi hatua kali za kisheria zitakufikia
Acha kudandia utajikuta unadandia dick.JAMES.Makobazi bwana hivi hamuwezi kuishi na mke mmoja mnataka hadi mmpite mudi kwa wingi wa viburudisho
Kanda ya Ziwa hii, kwa kweli inasikitisha, Usikute huyo mke mwenza ndiye aliyecheza huu mchezo kimiujiza ili mwenzake na wanawe wajiue ili mume arithi yeye. Wanaume tunapiganiwa sana, tujilinde jamani.Katika tukio la kusikitisha na kuzua maswali mengi kwa jamii, mwanamke mmoja aitwaye Kangw’a Tungu Mahigi (25), mkazi wa Kijiji cha Lugubu, Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, amefariki dunia kwa kunywa sumu aina ya Ruruka 80 WDG, inayotumika kuua viwavi jeshi vinyamizi — huku pia akiwanywesha watoto wake wanne, ambao wote wamepoteza maisha