CHIEFMANGU
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 685
- 1,149
Kuna Sheria inakataza kuoa mke wa pili,wa tatu, wa nne au hata 10?Huyo jamaa afungwe!.. mwanamke ana miaka 25 ameshamzalisha watoto wanne alafu anaoa tena mbele ya macho ya huyo mke mkubwa? Afungwe
Mwanaume mwenzangu umezingua mkuu Tena sana!!!Katika tukio la kusikitisha na kuzua maswali mengi kwa jamii, mwanamke mmoja aitwaye Kangw’a Tungu Mahigi (25), mkazi wa Kijiji cha Lugubu, Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, amefariki dunia kwa kunywa sumu aina ya Ruruka 80 WDG, inayotumika kuua viwavi jeshi vinyamizi — huku pia akiwanywesha watoto wake wanne, ambao wote wamepoteza maisha
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, SACP Richard Abwao, chanzo cha tukio hilo ni mgogoro wa kifamilia, ambapo marehemu alikuwa mke mkubwa katika ndoa ya ‘wake wengi’, na alikuwa akilalamika kunyimwa huduma sawa na mke mdogo, ikiwemo mume wake kujenga nyumba kwa mke mdogo huku yeye akikosa makazi bora
Majina ya watoto waliofariki ni Sengi James (miaka 8), Simon James (miaka 6), Elisha James (miaka 3) na Kashinje James (miezi 7)
Kamanda Abwao amesema kuwa mume wa marehemu anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya uchunguzi wa kina ili kubaini mazingira halisi ya tukio hilo, ikiwa ni pamoja na nafasi yake katika muktadha wa mgogoro wa kifamilia uliokuwepo kabla ya tukio
Wiki ijayo naenda kuona kifaa ambacho Mzee anaona kinafaa kubebwa ni baada ya huyu makelele kuzidi baada ya kuwa na kaya niliojenga plus uhakika wa kipato!!Kuna Sheria inakataza kuoa mke wa pili,wa tatu, wa nne au hata 10?
Ulisema afungwe ni mawazo yako, lakini kwa Sheria gani?
Inasikitisha Sana,lakini Sheria haipo hivyo...
Ila wasukuma wana akili za kipimbi sana. Sasa si angejiua yeye mwenyewe huyu mpuuzi awaache watoto waishi? Watoto wanahusikaje na hayo mawivu yake?Katika tukio la kusikitisha na kuzua maswali mengi kwa jamii, mwanamke mmoja aitwaye Kangw’a Tungu Mahigi (25), mkazi wa Kijiji cha Lugubu, Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, amefariki dunia kwa kunywa sumu aina ya Ruruka 80 WDG, inayotumika kuua viwavi jeshi vinyamizi — huku pia akiwanywesha watoto wake wanne, ambao wote wamepoteza maisha
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, SACP Richard Abwao, chanzo cha tukio hilo ni mgogoro wa kifamilia, ambapo marehemu alikuwa mke mkubwa katika ndoa ya ‘wake wengi’, na alikuwa akilalamika kunyimwa huduma sawa na mke mdogo, ikiwemo mume wake kujenga nyumba kwa mke mdogo huku yeye akikosa makazi bora
Majina ya watoto waliofariki ni Sengi James (miaka 8), Simon James (miaka 6), Elisha James (miaka 3) na Kashinje James (miezi 7)
Kamanda Abwao amesema kuwa mume wa marehemu anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya uchunguzi wa kina ili kubaini mazingira halisi ya tukio hilo, ikiwa ni pamoja na nafasi yake katika muktadha wa mgogoro wa kifamilia uliokuwepo kabla ya tukio
Hawezi kufungwaHuyo mwanaume ashitakiwe
Daah noma sana, kwa mimi na akili zangu za saivi sijui ningewaza nini juu yake.Nilikua mtoto wa around 3 - 4 years old, sikua na kumbukumbu nzuri zaidi ya yeye Mama kusema aliwahi kutunywesha Sumu wanae wote, na akasema sababu Kwa Nini....!?
So sikuwahi kumchukia Wala sikuweka kitu Moyoni, tu mpaka kesho Huwa inanifikirisha.
DuhMama yangu mwenyewe alifanya hivyo hivyo kwangu na Kwa Ndugu zangu tukiwa na Umri kama huo, Kwa Idadi kama hiyo....!
Bahati nzuri kwetu hakuna aliyepoteza Maisha zaidi ya kulazwa Hospital.........!
Fear Women....!!!
Halafu nyumba zenyewe sasa!!..napajua vizuri huko,ni igunga ndani bush,kuna fala huko namdai hela ya nyanya ndoo sita mwaka wa saba huu hajalipaAfadhali angejiua mke mwenza kuteuliwa DC au hata raisi jamani, nyumba tu!
Makobazi bwana hivi hamuwezi kuishi na mke mmoja mnataka hadi mmpite mudi kwa wingi wa viburudisho
NajuaSio kobaz huyo
Najua
DohMama yangu mwenyewe alifanya hivyo hivyo kwangu na Kwa Ndugu zangu tukiwa na Umri kama huo, Kwa Idadi kama hiyo....!
Bahati nzuri kwetu hakuna aliyepoteza Maisha zaidi ya kulazwa Hospital.........!
Fear Women....!!!
Sawa tutazingatia maoni yakoHuyo jamaa afungwe!.. mwanamke ana miaka 25 ameshamzalisha watoto wanne alafu anaoa tena mbele ya macho ya huyo mke mkubwa? Afungwe