Mwanamke akikaa mwaka mzima bila kuduu lazima dishi liyumbe

Mwanamke akikaa mwaka mzima bila kuduu lazima dishi liyumbe

Kwaiyo watawa wa kike dishi zimeyumba, napingana na wewe kwenye hili, labda useme kwa aliyezoea akaacha
 
Itafiti wa kimchongo mchongo. Haya mambo ya kufanya mapenzi ni mindser tu ya mtu. Haina cha mwanamke wala mwanaume.
Ukiwa idle uwezekano wa kuwaza mapenzi na mambo ya ajabu ajabu ni mkubwa.

Japan ni moja ya nchi ambazo watu wapo busy sana, kiasi kwamba kwendana na tafiti, vijana wengi hawapendi kuingia kwenye mahisiano ya kingono.

Mtu akiwa busy anachowaza ni saa ngapi apate kitanda alale. Kingine pia nj interest, kuna watu hawana interest na mambo ya mahusiano ya kingono kabisaaa.
 
Wako busy na nini? Wajapan ndio wanaongoza kwa kujiua sababu ya mapenzi
 
NASikia huko Japani wanakaa na bikra zao mpaka miaka 40 na bado ndio binadamu mojawapo wenye akili zaidi na maendeo makubwa

mwafrika anatafuta MBINU ya ku-justify UMALAYA wake tu hamna lingine
 
Labda uswahilini, ila huko duniani Kuna nchi hawafanyi ngono mpaka serikali inahamasisha jamani fanyeni ngono kama tunavyohamasishwa ss kulipa kodi.
 
Wako busy na nini? Wajapan ndio wanaongoza kwa kujiua sababu ya mapenzi
Ume-base kwenye tafiti ipi? Hata India wanaongoza kwa watu kujiua, je, ni sababu ya mapenzi? Hapana, wengi wanaojiua ni wakulima kutokana na madeni na hasara.

"That’s less unusual than you might think, says Spa! (Aug 25). Sex, once a major preoccupation among young people – often an exclusive one – no longer is. At least, those among whom it is not are not exceptional, the magazine finds. It polls 500 men aged 20-34 who have been sexless for a year or more. It asks them, “Do you want sex?” Not at all, say 22.4 percent. Not particularly, say 21.2 percent. Well, kind of, say 35.2 percent – leaving a mere 21.2 percent who say yes, they do."

"Younger Japanese were more likely to say they were disinterested in relationships. About one-third of women (37.4%) and men (36.6%) aged 18 to 24 described themselves as single and not interested in a relationship. Only one in seven (14.4%) women and one in five men (19.5%) aged 30 to 34 described themselves as single and disinterested."
 
Back
Top Bottom