Mwanamke akikuambia jambo litafakari kwa umakini sana

Mwanamke akikuambia jambo litafakari kwa umakini sana

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Wanawake wapo na Intuition power kubwa Sana hivyo akikuambia jambo ebu nenda ulitafakari kwa umakini Sana.

Wanawake huwa wanazilewa Sana sauti za ndani kuliko hata sisi wanaume hivyo akikuambia Jambo litafakari kiundani .

Mfano Mama yako akikuambia Mwanangu fanya hivi naona utafika sehemu fulani basi amini hilo Jambo.

Nb: kutokana na changamoto za Maisha ya udangaji na Uzinzi hii Intuition power huwa inapotea so usitegemee kuipata kwa Mtu ambaye ameshachafuka Sana huko utapotea.
 
Mama yako ananguvu za upande wa pili...

Tunaita za giza...
Baada ya kufahamu kuwa nikimshirisha nafeli, nilipowcha nimekuwa nafqnikiwa.

Alafu Ana tabia ya kunikatisha tamaa.
Utasikia:

"..unadhani utaweza?"
"..unadhani itawezekana?"
"..hapo unapoteza muda tu"
"..unajisumbua tu"

Hata Kuna siku alinikuta nikiotesha maua akasema "unadha yataota? Hayawezi kuota. Niliyamwagikia miezi 3 hayakuota"
 
Wanawake wapo na Intuition power kubwa Sana hivyo akikuambia jambo ebu nenda ulitafakari kwa umakini Sana.

Wanawake huwa wanazilewa Sana sauti za ndani kuliko hata sisi wanaume hivyo akikuambia Jambo litafakari kiundani .

Mfano Mama yako akikuambia Mwanangu fanya hivi naona utafika sehemu fulani basi amini hilo Jambo.

Nb: kutokana na changamoto za Maisha ya udangaji na Uzinzi hii Intuition power huwa inapotea so usitegemee kuipata kwa Mtu ambaye ameshachafuka Sana huko utapotea.
💯
 
Baada ya kufahamu kuwa nikimshirisha nafeli, nilipowcha nimekuwa nafqnikiwa.

Alafu Ana tabia ya kunikatisha tamaa.
Utasikia:

"..unadhani utaweza?"
"..unadhani itawezekana?"
"..hapo unapoteza muda tu"
"..unajisumbua tu"
Aikoooh!
Huyu ni mama yako mzazi? hizi ni dalili kuu za ushirikina ndani yake
 
Baada ya kufahamu kuwa nikimshirisha nafeli, nilipowcha nimekuwa nafqnikiwa.

Alafu Ana tabia ya kunikatisha tamaa.
Utasikia:

"..unadhani utaweza?"
"..unadhani itawezekana?"
"..hapo unapoteza muda tu"
"..unajisumbua tu"
Adui wa mtu ni wa nyumbani mwake...

Watu hutafuta watu wanaowaharibia maisha kumbe wapo nao karibu sana...
 
Baada ya kufahamu kuwa nikimshirisha nafeli, nilipowcha nimekuwa nafqnikiwa.

Alafu Ana tabia ya kunikatisha tamaa.
Utasikia:

"..unadhani utaweza?"
"..unadhani itawezekana?"
"..hapo unapoteza muda tu"
"..unajisumbua tu"

Huyu wako yupo tofauti mkuu, tunaambiwaga mafanikio ya mwanaume nyuma yake kuna mwanamke kwako imekuaje boss

Kama ni ndoa mvumilie ila usimshirikishe tena mambo yako, kama ni mchumba tu achana nae.. Maana unawezajefanikiwa ukiwa na mtu ana mitazamo hasi
 
Back
Top Bottom