Mwanamke akikuambia jambo litafakari kwa umakini sana

Mwanamke akikuambia jambo litafakari kwa umakini sana

Huwa nikimshirijisha mama Jambo lazima lifeli😡
Usisikilize ramli chonganishi, mara nyingine mama zetu hawana vifua, unamshirikisha Jambo na yeye chap anashirikisha marafiki zake, wajomba, majirani huko ndio anaatract negative energy bila yeye kujua.

Mimi nikimshirikisha Jambo langu mama namwambia kabisa usiwaambie wengine, wasije kuleta husda tukafeli.

Halafu wakati mwingine na wewe Jikaze, usimwambie yoyote Jambo lako, hata mama, Kama Una pesa kidogo mpe huku ukitia nia Ile pesa unayompa ilete baraka kwako.
 
Aikoooh!
Huyu ni mama yako mzazi? hizi ni dalili kuu za ushirikina ndani yake
Ndio wapo baadhi ya wamama wana tabia za hivyo kwa baadhi ya watoto wao hawapendi tu watoboe hata km ukifanya kitu ukafanikiwa atafurahia kinafiki tu lakini deep inside alitaka ufeli tu Ila Mungu akaamua kuingilia kati ukafaulu na ikiwa hivyo inamuuma sana maana alishawaambia watu yule hata afanyeje hatoboi, hivi we uwaambie watu yule hatoboi alafu akatoboa hivi unajisikiaje?
 
Shida ya wanaume wengine ni wajuaji mno adi wanaharibu mambo na hawashauriki
Ukute sasa mwanamke una hiyo nguvu ndani yako ya kuona mambo basi unabaki kumcheki tu!
Khah! Kwamba una nguvu gani? Kwa karne hii,mwanamke awe na nguvu ya kumshauli mwanaume? Ungesema ya kumshawishi sawa.
Na ushawishi ni wa kupewa tu hela. Na hela hiyo ni ya kwenda kulipia chumba lodge kuruka sarakasi. Mmeshajulikana babuu
 
Ungesema ya kumshawishi sawa.
Na ushawishi ni wa kupewa tu hela. Na hela hiyo ni ya kwenda kulipia chumba lodge kuruka sarakasi. Mmeshajulikana babuu
Ushawishi wenyewe ni kuvaa nguo za kutegesha tunaziita chambo yaan nguo imebana matako yametutumuka km yupo uchi ndio ushawishi wenyewe huo jichanganye usachiwe wallet yako 😆
 
Baada ya kufahamu kuwa nikimshirisha nafeli, nilipowcha nimekuwa nafqnikiwa.

Alafu Ana tabia ya kunikatisha tamaa.
Utasikia:

"..unadhani utaweza?"
"..unadhani itawezekana?"
"..hapo unapoteza muda tu"
"..unajisumbua tu"

Hata Kuna siku alinikuta nikiotesha maua akasema "unadha yataota? Hayawezi kuota. Niliyamwagikia miezi 3 hayakuota"
Duh
 
Usisikilize ramli chonganishi, mara nyingine mama zetu hawana vifua, unamshirikisha Jambo na yeye chap anashirikisha marafiki zake, wajomba, majirani huko ndio anaatract negative energy bila yeye kujua.

Mimi nikimshirikisha Jambo langu mama namwambia kabisa usiwaambie wengine, wasije kuleta husda tukafeli.

Halafu wakati mwingine na wewe Jikaze, usimwambie yoyote Jambo lako, hata mama, Kama Una pesa kidogo mpe huku ukitia nia Ile pesa unayompa ilete baraka kwako.
hili lipo sahihi kabisa asee,
 
Shida ya wanaume wengine ni wajuaji mno adi wanaharibu mambo na hawashauriki
Ukute sasa mwanamke una hiyo nguvu ndani yako ya kuona mambo basi unabaki kumcheki tu!
Mimi huyu kabisa daktari mimi,engineer mimi,afisa mipango mimi,mwanasheria mimi ,mwanajeshi mimi sitakagi kushindwa ila mambo yakigeuka na niliambiawa nakuwaga kama panya kalowa.
 
Ushawishi wenyewe ni kuvaa nguo za kutegesha tunaziita chambo yaan nguo imebana matako yametutumuka km yupo uchi ndio ushawishi wenyewe huo jichanganye usachiwe wallet yako 😆
Waache wajichanganye. Wema wao unajulikana.
Wamelizwa,sasa wanatafuta pa kulipiza visasi. Wanajifanya washauli wazuriiiiii. Na ukiona umeshauri,na ushauri wako umepuuzwa,ujue huna maana.
 
Back
Top Bottom