Mwanamke akikuambia jambo litafakari kwa umakini sana

Mwanamke akikuambia jambo litafakari kwa umakini sana

Bibi angu hua analia eti kwanini sioi?? Nasubiri mpaka afe?? Yaani hadi nachanganyikiwa mwenzenu. Mimi bado mdogo [emoji24]
Udogo kwenye nini mkuu kukabiliana na changamoto ama kutoa malezi kwa watoto na mama yao, bora lakini kama unajiona haupo tayari bora uache kabisa ndoa inahitaji commitment kubwa lasivyo utakonda kwa mawazo na hata kazini utashuka kiutendaje
 
Mama yako ananguvu za upande wa pili...

Tunaita za giza...
Hili lina ukweli, kuna jirani yangu alikuaga anamlalamikia sana mama ake kwamba akimuambia tu kitu hatoboii, au akimpa hela anakua kama kajifungulia mlango wa kupoteza tu hela matatizo yanaibuka hata hayaeleweki ilimradi tu atamaliza hela, nikawa namshangaa namuambia mbona wenzio ukimpa mama na baraka unaona akajibu sio mama angu, kumbe nyuma ya pazia mama ni mlozi hatarii na alishamuambiaga hutakuja uolewe ng'oo na dada kila mara ni ana achwa tuu .
 
Mi nilitafuta adu zangu niwajue, nikawa naomba Mungu anipe macho nione..

Nilipokuja kuwaona ni wa karibu sana, Tena mzazi wangu na mama yangu ndio adui yangu...

Aisee... Inauma hii kitu jamani...

Naona Kila kitu jamani naonaaa ..
Mama Ako ndio awe adui wakati mama angu ananiombea nifanikiwe since day one...
 
Mama Ako ndio awe adui wakati mama angu ananiombea nifanikiwe since day one...
Huwezi kujua wewe...

Hata yeye aliniombea, ila unajua anaomba Mungu yupi, unajua hata Wachawi kanisani wanaenda na wanakaa mbele...

Hata vyeo vya kanisani wanapewa..

Watu unavyowaona kwa macho ya nyama sivyo wanavyoonekana kiroho...

Leo nimeshuhudia ili wengine wapone...
 
Kwenye hii dunia hakuna mtu anaweza kuwa na nguvu fulani juu yako , hasa kwenye maamuzi yako ya mafanikio kwenye kila kitu, pasipo hiyo nguvu kutoka ndani yako wewe mwenyewe.

Ukiona mtu katoka njee kaja kwako kwa ajili ya mafanikio fulani ,tambua kabisa ni wewe mwenyewe umemu attract kwa ajili yako mwenyewe , kulingana fikra na hisia zako, kulingana na jambo fulani.
 
Udogo kwenye nini mkuu kukabiliana na changamoto ama kutoa malezi kwa watoto na mama yao, bora lakini kama unajiona haupo tayari bora uache kabisa ndoa inahitaji commitment kubwa lasivyo utakonda kwa mawazo na hata kazini utashuka kiutendaje
I'm 23yrs old siwezi oa na umri huo. Anagalau nifike 30.
 
Hili lina ukweli, kuna jirani yangu alikuaga anamlalamikia sana mama ake kwamba akimuambia tu kitu hatoboii, au akimpa hela anakua kama kajifungulia mlango wa kupoteza tu hela matatizo yanaibuka hata hayaeleweki ilimradi tu atamaliza hela, nikawa namshangaa namuambia mbona wenzio ukimpa mama na baraka unaona akajibu sio mama angu, kumbe nyuma ya pazia mama ni mlozi hatarii na alishamuambiaga hutakuja uolewe ng'oo na dada kila mara ni ana achwa tuu .
Natafuta nguvu maana sasa nina maumivu ya moyo, yaliyotokana na kama haya nitaleta Uzi watu wajue...
 
Back
Top Bottom