Wooooteee. Mbona muoga wa kusema ukweli babuuuu! Wote zeroSio wanawake wote wakikwambia Jambo ulifuate wengine wanakupoteza maboya lazima kichwa chako kiwe na utulivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wooooteee. Mbona muoga wa kusema ukweli babuuuu! Wote zeroSio wanawake wote wakikwambia Jambo ulifuate wengine wanakupoteza maboya lazima kichwa chako kiwe na utulivu
😃😃😃 nimecheka kwa uchunguHuwa nikimshirikisha mama Jambo lazima lifeli😡
Sio kila kitu mwanaume anachokubaliana nawe na kuitikia basi amekiafiki au atakitekeleza, kuna wakati mwingine tunawaitikia hili tu kuepusha maneno,Mh,nakataa
Unakuta akiwa na utulivu unampanga kabisa na anakubali na anaona kabisa umempa points ila sasa ikifika utekelezaji anageuka alafu baadae anagundua alikosea anasema atafata ushauri ila hafati!
Anakua in a same cycle all day every day!
Mmmh alikuwa anakutombea palepale? jamaa ni tatizo sanaHii ni kweli, nilishawahi kusikia sauti ikiniambia kuwa boyfriend wako ana mwanamke zaidi ya mara tatu ila nikawa na ignore baadae ndio nikaja kufahamu na kuthibitisha baada ya kwenda kwake bila taarifa. Kumbe alikuwa akiishi na mwanamke for almost 5 years na mimi alikuwa ananipeleka hapo hapo kwake aisee.
Sijakataa ila sasa basi unachoamua kilete matunda chanyaSio kila kitu mwanaume anachokubaliana nawe na kuitikia basi amekiafiki au atakitekeleza, kuna wakati mwingine tunawaitikia hili tu kuepusha maneno,
Hii kitu hata Kwa hao wazinzi na wadangaji sio km haipoWanawake wapo na Intuition power kubwa Sana hivyo akikuambia jambo ebu nenda ulitafakari kwa umakini Sana.
Wanawake huwa wanazilewa Sana sauti za ndani kuliko hata sisi wanaume hivyo akikuambia Jambo litafakari kiundani .
Mfano Mama yako akikuambia Mwanangu fanya hivi naona utafika sehemu fulani basi amini hilo Jambo.
Nb: kutokana na changamoto za Maisha ya udangaji na Uzinzi hii Intuition power huwa inapotea so usitegemee kuipata kwa Mtu ambaye ameshachafuka Sana huko utapotea.
Manaake huyo wake hajakaa kwenye nafasi yakeHuyu wako yupo tofauti mkuu, tunaambiwaga mafanikio ya mwanaume nyuma yake kuna mwanamke kwako imekuaje boss
Kama ni ndoa mvumilie ila usimshirikishe tena mambo yako, kama ni mchumba tu achana nae.. Maana unawezajefanikiwa ukiwa na mtu ana mitazamo hasi
MakubwaBaada ya kufahamu kuwa nikimshirisha nafeli, nilipowcha nimekuwa nafqnikiwa.
Alafu Ana tabia ya kunikatisha tamaa.
Utasikia:
"..unadhani utaweza?"
"..unadhani itawezekana?"
"..hapo unapoteza muda tu"
"..unajisumbua tu"
Hata Kuna siku alinikuta nikiotesha maua akasema "unadha yataota? Hayawezi kuota. Niliyamwagikia miezi 3 hayakuota"
Baada ya kufahamu kuwa nikimshirisha nafeli, nilipowcha nimekuwa nafqnikiwa.
Alafu Ana tabia ya kunikatisha tamaa.
Utasikia:
"..unadhani utaweza?"
"..unadhani itawezekana?"
"..hapo unapoteza muda tu"
"..unajisumbua tu"
Hata Kuna siku alinikuta nikiotesha maua akasema "unadha yataota? Hayawezi kuota. Niliyamwagikia miezi 3 hayakuota"
Aikoooh!
Huyu ni mama yako mzazi? hizi ni dalili kuu za ushirikina ndani yake
Wanaume kweli ni mbwa.Hii ni kweli, nilishawahi kusikia sauti ikiniambia kuwa boyfriend wako ana mwanamke zaidi ya mara tatu ila nikawa na ignore baadae ndio nikaja kufahamu na kuthibitisha baada ya kwenda kwake bila taarifa. Kumbe alikuwa akiishi na mwanamke for almost 5 years na mimi alikuwa ananipeleka hapo hapo kwake aisee.
Mi nilitafuta adu zangu niwajue, nikawa naomba Mungu anipe macho nione..
Nilipokuja kuwaona ni wa karibu sana, Tena mzazi wangu na mama yangu ndio adui yangu...
Aisee... Inauma hii kitu jamani...
Naona Kila kitu jamani naonaaa ..
YESU Asante...umenionyesha makubwa na magumu nisiyojua...
Usisikilize ramli chonganishi, mara nyingine mama zetu hawana vifua, unamshirikisha Jambo na yeye chap anashirikisha marafiki zake, wajomba, majirani huko ndio anaatract negative energy bila yeye kujua.
Mimi nikimshirikisha Jambo langu mama namwambia kabisa usiwaambie wengine, wasije kuleta husda tukafeli.
Halafu wakati mwingine na wewe Jikaze, usimwambie yoyote Jambo lako, hata mama, Kama Una pesa kidogo mpe huku ukitia nia Ile pesa unayompa ilete baraka kwako.