Mwanamke akikuambia jambo litafakari kwa umakini sana

Mwanamke akikuambia jambo litafakari kwa umakini sana

Umesema ukweli wamama hawana siri mpk unaogopa kumwambia yaani mimi siwezi kumueleza jambo langu la msingi ambalo sitaki wengine walifahamu mpk pale litakapo kamilika

Nimewahi kumdokeza tu kuna mtu nimempata ila sina uhakika nae akaenda kuwaambia ndugu zake ndugu zake Nao wakasambaza nikaanza kupigiwa simu za kuulizwa mpk nikaona aibu namuuliza kwanini ulisema ananikazia et kwani kuna ubaya gani

Na mchumba nikakosa
Pole sana, hawa mama zetu hawana Siri, na huwa wanafanya hivyo si Kwa nia mbaya, ni harakati za kujitapa aonekane mama Bora, watoto wana success....kumbe anavuta negative energy.
Wanaosimuliwa wanakuwa na husda, vijicho, wengine wachawi wanaroga kabisa ndo unakuta mambo hayawi.
 
Pamoja na yote sauti ya ndani huwa inaenda sawa na utulivu wa ndani zaidi ikiwa mtu amepoteza utulivu ndani yake hata hiyo intuition power huanza kupotea

Kupitia meditation na Yoga (tahajudi) na mazoezi ya kufungua Chakra hizi zote ni njia za kuwa na intuition power

Intuiton power huja kwa kukuonesha mambo chanya na kukupa tahadhari kuhusu mambo hasi.

Hivyo tuelewe hapo kwanza.

Mfano chakra baadhi zikijifunga ndo ile hali unakuta mtu unashindwa kuongea Mambo yenye mantiki na kuandika mambo yenye mantiki na kujikuta unatumia muda Mwingi kuongea Mambo ambayo hayaeleweki.(pumba)
 
Pre-matured announcement sio Nzuri ila tunabidi kujua wanawake swala la Ego au ubinafsi huwa lipo katika hali ya Juu sana.


Hivyo wao hutoa Taarifa zako kwa lengo la kutaka kutafuta Attention na social proof ila mwisho mambo uharibika Sana.

Pia Hata wanaume au Binadamu yoyote huwa ana Ego (ubinafsi) isipokuwa kwa wanawake ni kubwa hivyo wanawake wanabidi kuruhusu Ego ila isiwe kwa kiwango kikubwa , ili kuzuia Nguvu hasi ,Chuki na visasi kutoka upande Mwingine.


Pia ukizitazama sifa za Ego ni Kama
Complaining
Blaming
Attention
Social proof
Gossiping
And Etc

Ukiangalia hizo sifa za Ego hata sisi wanaume tunazo ila kwa wanawake zipo katika hali ya ukubwa . Na hii husababishwa kwasababu wao wapo too Emotional

Pole sana, hawa mama zetu hawana Siri, na huwa wanafanya hivyo si Kwa nia mbaya, ni harakati za kujitapa aonekane mama Bora, watoto wana success....kumbe anavuta negative energy.
Wanaosimuliwa wanakuwa na husda, vijicho, wengine wachawi wanaroga kabisa ndo unakuta mambo hayawi.
 
Back
Top Bottom