Mwanamke akikujibu SMS yako hivi acha haraka sana kuchat nae

Mwanamke akikujibu SMS yako hivi acha haraka sana kuchat nae

acheni uoga ukihonga kama mwanasiasa. ndio unapata heshima
 
Nawafanyaga hvo hvo wakinipigiaga....
Wanawake wengne wajnga sana...

Hata usipomhudumia kutokana na sababu mbalimbali, anakupaka kabisa, anakwambia your not worth man, stupid man una akili fupi!
 
sasa kama huna msaada unauliza ya nini?" si ufunge kinywa chako....... unajichetua na maswali ya mtego nikwambie mazuri wakati kiuhalisia ni mabaya hapana kwa kweli......''Maisha yanasemaje kipenzi changu'' nitakujibu maisha yanataka hela na sina hela embu nitumie laki 5 hapo mar moja......

Binamu upo?
 
Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu yafuatayo, tafadhali sana usiendelee kuchat nae maana kinachofuata hapo ni majanga tu.

KWA MFANO:
1. Ukimtumia sms ''Mambo mpenzi wangu?'' akikujibu ''mambo mabaya'', usimuulize kwanini mambo mabaya, ukimuuliza atakwambia kuwa ''sina hela dear''

2. Ukimtumia sms ''Maisha yanasemaje kipenzi changu'' akikujibu ''maisha magumu hubby wangu we acha tu'' usimuulize kwanini, ukimuuliza kwanini atakwambia ''nimefulia mwenzio kama nini sijui''

3. Ukimtumia sms ''Mbona kimya sana mchumba wangu, umenitupa kiasi hicho'' akikujibu ''sijakutupa wangu yaani mambo hata hayaendi'' usimuulize kwanini mambo hayaendi, ukimuuliza atakwambia kuwa ''yaani sina kitu mpenzi wangu, simu ilikuwa haina hata hela ya kubeep''

4. Au ukiona mwanamke anaanza kwa kukwambia nikwambie kitu? We mkatalie kiutani utani tu, mwambie usiniambie, hata akikomaa vipi akwambie mwambie sitaki uniambie huku unafanya kama utani lakini moyoni unakuwa upo serious.

Ni mara chache sana mwanamke akikwambia kuwa mambo mabaya, maisha magumu au mambo hayaendi huwa na matatizo mengine kama kuumwa, misiba.... n.k lakini THE REST ni wapigaji mizinga tu. Akikwambia maisha magumu mjibu ''pole wangu, mambo mengine vipi?''

Ukipewa majibu kama hayo, chagua moja, either usiendelee kuchat nae mpaka badae kidogo au mbadilishie maada ili kukwepa huo mzinga ambao unakuja mbele yako.

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

ImageUploadedByJamiiForums1409979496.521947.jpg
Kaz kwenu!!!!!!!
 
sasa kama huna msaada unauliza ya nini?" si ufunge kinywa chako....... unajichetua na maswali ya mtego nikwambie mazuri wakati kiuhalisia ni mabaya hapana kwa kweli......''Maisha yanasemaje kipenzi changu'' nitakujibu maisha yanataka hela na sina hela embu nitumie laki 5 hapo mar moja......

Proffesor anasema ... sio ATM
 
Wanawake bwana..!
..mtu ana kipato kizuri lakini kila kukicha ni kama ombaomba..!
 
wanakimbia majukumu yao hao wamwambie Mungu aweke mabadiliko, sie tuwe kama wao
ili waone tutakayotoa hela na wala hatunaga ubahili kama wao



cc Asprin , Excel KakaKiiza

Mke mwema anatambulika mapema sana...

Hawa wanaoanza kwa mizinga ya kumi kumi mpaka laki kila siku ndo wanaokuja kuwa wezi wakubwa sana wa pesa za waume zao kwenye ndoa.....

Kuna situation inafika, mwanamke akikuomba pesa, unaitoa mwenyewe kwa moyo mmoja, hapo ujue kuna critic reason..

Sio kila time unaomba pesa kwa sababu zisizo na ubongo!..
 
Back
Top Bottom