concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 3,379
- 6,624
Kama namuona Neema vile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio lazima, mambo hayaendi hivyo mkuuJiandae na wewe kumnunulia kiroho safi
Issue za picha na treatment zinahusiana vipi hapo, isitoshe ni kiherehere cha demu kukagua text za jamaa.Ila kuna wanawake na wanawake na nusu aisee[emoji1487]yan mim tukio moja tu nakupiga matukio kama mia na nakuacha dadeki staki utani...nitreat vizur i give yu heaven ukimessup mazee nakupatia hell sipunguzi siongezi [emoji28]unapata unachostahili
Wanaume wa dar kwa mikono milaini hamjambo,,kimkono kilaiiiniiAlikuta picha kwenye Facebook messenger yangu. Picha yenyewe ni dogo mmoja ametoka kuoga, amefumua nywele. Maana nilimwambia ukifumua nataka nizione nywele zilivorefuka.
Aliniwakia sana. Tena ilikua usiku tumetoka Sunrise Beach Resort vizuri tu. Tumefika karibu na kwao nataka nimuage ndio akanizuia, akatoa cm yake akanionesha ile picha kumbe alichukua screenshot akajitumia.
Daah, nikawa mpole. Akanichana sana pale. Fala nimekaa kimya tu. Sijibu kitu. Huyo akaingia kwao. Nikasepa.
Infact ni kweli yule dogo huwa namla. Sema hana akili za maisha ndio maana sijamtilia maanani. Nakapendea umri wake mdogo na uzuri wake.
Week mbili zimepita mimi na manzi wangu hatuna mawasiliano. Juzi nashangaa anagonga hodi getto nikafungua akanikabidhi bahasha. Akasema mzigo wako huo. Akasepa.
Kufungua nakuta perfume na kikaratasi ameandika "this is for you my love. Mlolongo" Nikajiuliza maswali mengi sana, na kujutia juu.
Jana nilipita Mliman City kuulizia bei ya hii perfume nikaambiwa inauzwa 175,000 mwisho mia sabini.
Nimeamini manzi wangu ananipenda mno. Sana.
View attachment 1888018
Atakuvumilia mama yako,yani unikosee mimi msamaha niombe mimi? Big noMapenzi hayaendi hivi dada.
Kuna nyakati za raha na nyakati za karaha. Mnavumiliana.