Mwanamke akikupenda raha, pamoja na kumcheat kaninunulia perfume ya 170,000/=

Mwanamke akikupenda raha, pamoja na kumcheat kaninunulia perfume ya 170,000/=

Ila kuna wanawake na wanawake na nusu aisee[emoji1487]yan mim tukio moja tu nakupiga matukio kama mia na nakuacha dadeki staki utani...nitreat vizur i give yu heaven ukimessup mazee nakupatia hell sipunguzi siongezi [emoji28]unapata unachostahili
Issue za picha na treatment zinahusiana vipi hapo, isitoshe ni kiherehere cha demu kukagua text za jamaa.
 
Mkuu sio kila Zawadi ni ya kufurahia,
Jitafakari kwann perfume?
Kwann isiwe shati au suruali?
Zipo sababu kuu 2.

1--Pengine harufu hiyo kaikuta kwa mchepuko wake na kaipenda harufu kaamua nawewe unukie kama huyo mchepuko.

2-- harufu yako ya mwili/majasho ya kwapa haimpendezi..


So jambo la.kufurahia MKUU,, ni msiba mkubwa huo
 
Alikuta picha kwenye Facebook messenger yangu. Picha yenyewe ni dogo mmoja ametoka kuoga, amefumua nywele. Maana nilimwambia ukifumua nataka nizione nywele zilivorefuka.

Aliniwakia sana. Tena ilikua usiku tumetoka Sunrise Beach Resort vizuri tu. Tumefika karibu na kwao nataka nimuage ndio akanizuia, akatoa cm yake akanionesha ile picha kumbe alichukua screenshot akajitumia.

Daah, nikawa mpole. Akanichana sana pale. Fala nimekaa kimya tu. Sijibu kitu. Huyo akaingia kwao. Nikasepa.

Infact ni kweli yule dogo huwa namla. Sema hana akili za maisha ndio maana sijamtilia maanani. Nakapendea umri wake mdogo na uzuri wake.

Week mbili zimepita mimi na manzi wangu hatuna mawasiliano. Juzi nashangaa anagonga hodi getto nikafungua akanikabidhi bahasha. Akasema mzigo wako huo. Akasepa.

Kufungua nakuta perfume na kikaratasi ameandika "this is for you my love. Mlolongo" Nikajiuliza maswali mengi sana, na kujutia juu.

Jana nilipita Mliman City kuulizia bei ya hii perfume nikaambiwa inauzwa 175,000 mwisho mia sabini.

Nimeamini manzi wangu ananipenda mno. Sana.

View attachment 1888018
Wanaume wa dar kwa mikono milaini hamjambo,,kimkono kilaiiinii
 
Back
Top Bottom