Mwanamke akikwambia vaa condom, usikatae

๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Kumbe uwa unahonga
 
Kuna mwingine humuhumu alikujaa na uzi ukisema
"Ukiona mwanamke ametoboa pua vaa condom"
"Ukikuta mwanamke amevaa shanga vaa condom"
"Ukikuta mwanamke ametoboa masikio zaidi ya tundu moja kwa sikio vaa condom"
"Ukikuta mwanamke anavua nguo harakaharaka faraghani vaa condom"
"Ukikuta mwanamke amevaa kikuku vaa condom"
Sikumbuki jina la uzi nilitaka niziweke nadharia zake na uzoefu wake wa kusoma afya kwa macho
 
Baada ya kumsikia Trump na Musk wakitilia mkazo kuwa fedha za wamarekani ni kwa ajili yao, na baada ya kukumbuka 90s na mabalaa ya HIV, kuna haja ya kusitisha mapambano yasiyo halali, hata nikiambiwa nivae helmet leo, siingizi timu uwanjani. Kwanza helmet la nini, hakuna kitu sipendi kama condom.
 
Juzi kati nilikutana na pisi, nikawa na itongoza ni barabarani wakati huo tukapishana na mdada kafungasha nikapiga jicho wakati nageuka sijakawa sawa nasikia huyu pisi ananiambia angalia tu? Baba fahari ya macho haifilisi duka
She is a keeper. Mie mwanamke wa namna hiyo ndio napenda ata mie nitampa ruhusa ya kucheki wanaume wenye siz pack na walamba lips
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ