Mwanamke akiniacha ni kama tu nimetupa chupa ya maji ambayo tayari nimeyanywa

Wewe mkuu utakuja kunikumbuka sikumoja kwamba nilikuambia lakini hukutaka kusikia, wanawake unaowazungumzia hawapo ukiona mwanamke anajifanya ati yeye malaika sijui mariam Magdalena shtuka ni mtego au anakuibia
Mkuu mimi siwezi kudanganywa kamwe.
Hata ujifanye malaika yaani first sight nakujua hadi mawazo yako.

Mimi sio fala ni mzoefu mkuu
 
Hao wanawake unaosema wapo sikuona wakiainishwa pale waliposema "tuishi nao kwa akili"
 
Hao wanawake unaosema wapo sikuona wakiainishwa pale waliposema "tuishi nao kwa akili"
Biblia iyoyesema tuishi nao kwa akili pia ilituandikia wanawake wafuatao;
1. Delila
2. Debora
3. Abigael
Ukijua sifa zao urudi jukwaani tuendelee
 
Biblia iyoyesema tuishi nao kwa akili pia ilituandikia wanawake wafuatao;
1. Delila
2. Debora
3. Abigael
Ukijua sifa zao urudi jukwaani tuendelee
Kumbe unazungumzia wanawake wa era za bible!
 
Ukikua utaacha mkuu.

Ni kweli kuna kaumri ka ujana unakua dungadunga tu. Ila ukishakua utaona ya nini haya, utatulia zako tu na chombo yako.
Hata sasa natuliaga sana na chombo yangu lakini ikiniacha ni kama nimetupa chupa ya maji ambayo tayari nimeyanywa tu,sipotezi mwelekeo.
 
Andaa kuni zako mzee special
 
Namuona kama anawazia hewani. Anaweza akafukuza wanawake 99 lakini akakwama kabisa kwa huyo wa 100.

Hizo nyingine ni hadithi za Abunuwasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ