Mwanamke akiniacha ni kama tu nimetupa chupa ya maji ambayo tayari nimeyanywa

Duh tupo tofauti aisee, mm huwa najaribu kila mbinu za kunusuru ila ikishindikana basi niki move on huwa sirudi nyuma, labda akijileta atakula mkia kama nimekutana na wa kununua then simhudumii wala kumpigia simu wala kumpa hela yangu iwe ya usafiri chakula ama yyt akija atakula mkia kwa gharama zake. Inshort namgeuza chombo cha sterehe
 
Kujaribu kunusuru niliwahi fanya kipindi hicho najaribu kuwasoma hawa watu baadae nikagundua ni wastage of time and resources ambazo naweza tumia kunasa pisi nyingine kali kushinda yeye.
Maana kuwasujudia sana hawa wanakuona kama kiazi flani mwisho wa siku utapigwa na chupi usoni
 
Mkuu ulishawahi kumpata anaekupenda na wewe ukampenda ani ukahis kama mapacha vilee yaan mungu kawaleta hiv au huwa unapenda kwa matamanio??
 
Mkuu ulishawahi kumpata anaekupenda na wewe ukampenda ani ukahis kama mapacha vilee yaan mungu kawaleta hiv au huwa unapenda kwa matamanio??
Ya kazi gani yote haya?🀣🀣
Bado sijampata mkuu 🀣🀣
Kwa sasa acha tu niseme vile anavyonitreat ndivyo ninavyomtreat ,show show
 
Napenda tu hitimisho la nyuzi za jf 'tunachokijua'

We jamaa mleta mada nadhani hauja wahi kupenda, na kama umewahi kupenda utakua umeumizwa sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…