Mwanamke akionesha dalili au tabia hizi achana naye

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio ninathubutu Bali nimesema Nina tabia mojawapo ya mtoa mada aliyosema, aliyesema mkae mbali Ni mtoa mada, Kama umeuelewa huu Uzi utakuwa umeniekewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Yap nimekuelewa si ulisema unapenda kuwa karibu na wanaume. Me hii tabia sihipendi kabisa mwanamke wangu kuwa karibu na wanaume Mana wanakuraga kimasihara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Khaa kwahiyo mnataka tukubali kunyanyaswa na kupigwa?? Over my dead body acha nionekane mwanaharakati tu ila maishani mwangu hakuna kitu nachukia kama kunyanyaswa au kupigwa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 


waasi kongo huko😂😂😂😂😂😂
 
Umenichekesha kwakweli
 
Mwanamke gani unajua kila kitu

Ligi zote za mpira unajua team mpaka za kina Brigham city ,Blackburn rovers fc za championship unajua mpaka first eleven statically data zote unazo unawajua mpaka premier league all time top scorer

Unajua karibia application zote kwenye simu za kubeti na unabeti Mara upo sportpesa ,betpawa,superbet etc yaani taafrani kwenye simu unakuta anayozo mpaka application za kufuatilia mpira Mara footmob ,Mara livescore dar aisee ,unakuta sio mpira tu wengine wanampaka application za PUGB



Mwanamke kila muvi unazijua iwe horror ,SciFi ,fantasy na wala huziogopi kabisa umekosa kabisa ile haiba ya kike yaani unaangalia mpaka series za witcher ,Messiah, strike back badaya ya kuangalia hizo love story za kikorea na hauko emotional kabisa haulii hovyo hauna machozi ya karibu


Unajua mpaka kiundani mgogoro wa Iran na united states mwanamke unajua kuichambua vzur brexit mwanamke unajua kiundani migogoro ya Arab middle east dah unachambua kabisa mafumbo yaliyopo kwenye picha ya polymath leornado da Vinci ile ya monalisa unajua mpaka myth ya shread of Turin dadekii na mambo kibao na makitu kitu mengine huko


Mwanamke unapenda boxing na unaicheza hadi karate unajua kila aina ya vifaa vya vita kila silahaa na zile ambazo ni common kwa vyombo vya ulinzi vya nchi yetu kama SMG ,SAR, daah ugundue nini unataka unitoe roho














Huo juu ulikuwa utani tu Mimi mwenyewe sjui mnatakiwa muweje mi na deal na pombe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂😂
 
Halaf mbaya zaid unakuta anachangia kabisa like "kata kichwa huyoo" halaf linamalizia na kucheka "hahahahah, safi sana"

Huyoo akaolewe na boko haram tu.
Ahahhahahah
 
Nimecheka sanaaa hii namba 6

6. Mwanamke mkienda out akatawala bili

“Mnauzaje hapa?”

“Wahudumu mbona mnakaa mbali?”

Hesabu vizuri wasituibie chenji"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…