britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
- Thread starter
- #141
Hakika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika
Afu wanaboa kishenzi..na usiombee uwe umechukua guest chumba short time..unakaa wee demu hatokei, imebak nusu saa muda wa chumba kuisha et ndo anakuja, anakukuta ushafura kwa hasira.Kuhusu kutojali muda naona ni wanawake wengi.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Mi kuna mmoja niliachana nae maana dah dem eti haogopi mkiwa mnaangalia horror movies. Kuna wale mkiwa mnaangalia movie kama hii kuna matukio anaogopa kuangalia anajificha nyuma ya mgongo wako au anakulalia mapajani anakwambia utanisimlia hapo nini kilitokea ila huyu wangu anakodoa tu macho watu wanatobolewa utumbo au ubongo na mazombie ye uso mkavu hafichi ata uso kwa mikono. Nikasema we kaolewe na majenerali wa vikundi vya waasi kongo huko ndo mnawezana
Hii picha ya juu ya longi sana hivi ni nani huyo....Kama hawa ama hawa wana Masters degree? View attachment 1320650View attachment 1320651
Sent using Jamii Forums mobile app
KabisaDaa kwa hawa wanaopenda kutawala maongezi hata Kama akiwa na wanaume zaidi ya watatu huwa wnakuwa wabishi sana unacho kiongea hawezi kukuelewa kwa halaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaa kwahiyo mnataka tukubali kunyanyaswa na kupigwa?? Over my dead body acha nionekane mwanaharakati tu ila maishani mwangu hakuna kitu nachukia kama kunyanyaswa au kupigwa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi kuna mmoja niliachana nae maana dah dem eti haogopi mkiwa mnaangalia horror movies. Kuna wale mkiwa mnaangalia movie kama hii kuna matukio anaogopa kuangalia anajificha nyuma ya mgongo wako au anakulalia mapajani anakwambia utanisimlia hapo nini kilitokea ila huyu wangu anakodoa tu macho watu wanatobolewa utumbo au ubongo na mazombie ye uso mkavu hafichi ata uso kwa mikono. Nikasema we kaolewe na majenerali wa vikundi vya waasi kongo huko ndo mnawezana
Mkuu ulisahau wenye tattoo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Mapenzi huleta upofu na kupotoka, hata pale unapogundua mabaya unaassume atabadilika kumbe inakuwa makusudi ya Mungu kukuonesha
1. Mwanamke ambaye anapenda uanaharakati.
"Mimi sipendi mtu anyanyaswe, mimi hawawezi nifanyia hivyo.”
“Mimi mwanaume hanipigi kofi"
Katika maongezi ukisikia maneno hayo ogopa sana.
2. Mwanamke ambaye haogopi walezi au wazazi.
"Tangulia nitakukuta kama umeshanishtaki.”
“Nilimwambia mama kuwa atakayepokea barua na mahali/maali ataolewa yeye.Kwani mi ndo msichana pekee mwambie akamuoe dada kama mnampenda sana mwanaume huyu"
3. Mwanamke mwenye marafiki wa Kiume wengi zaid ya wanawake
“Mimi sipendagi kampani ya wanawake maana hatupendani"
Huyo Muogope
4. Mwanamke anayeshindwa kujali muda hana care yeyote na wewe. Unasimama sehemu masaa matatu kumsubiri yeye anadhani neno SORRY linafuta mateso ulosimama masaa yote.
Huyo muogope
5. Ukikutana na washikaji yeye akawa muongeaji na kutawala mazungumzo , ogopa sana huyo
6. Mwanamke mkienda out akatawala bili
“Mnauzaje hapa?”
“Wahudumu mbona mnakaa mbali?”
“Hesabu vizuri wasituibie chenji"
7. Mwananke anayekunywa kinywaji kigumu yaani Konyagi Bapa. Hatari
8. Mara Nyingi unamkuta kaunta na Bia moja anailamba lamba tu!
Ogopa.
Thank me later
Britannica
Na mkae mbali haswa,, maana dunia ya leo hao wanawake mnaowataka hawapo labda muwaumbe wenyewe..