patience96
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,353
- 574
Afiche uso wake ili iweje sasa wakati anajua fika kuwa movie yenyewe ni fiction!Mi kuna mmoja niliachana nae maana dah dem eti haogopi mkiwa mnaangalia horror movies. Kuna wale mkiwa mnaangalia movie kama hii kuna matukio anaogopa kuangalia anajificha nyuma ya mgongo wako au anakulalia mapajani anakwambia utanisimlia hapo nini kilitokea ila huyu wangu anakodoa tu macho watu wanatobolewa utumbo au ubongo na mazombie ye uso mkavu hafichi ata uso kwa mikono. Nikasema we kaolewe na majenerali wa vikundi vya waasi kongo huko ndo mnawezana
kwa kauli kama hizi utaendelea kuwa single mama daimaNa mkae mbali haswa,, maana dunia ya leo hao wanawake mnaowataka hawapo labda muwaumbe wenyewe..
Hapa namba tatu(3) unafeli mjuba!!3. Mwanamke mwenye marafiki wa Kiume wengi zaid ya wanawake
“Mimi sipendagi kampani ya wanawake maana hatupendani"
Mimi kuolewa au kutokuolewa inahusiana nini na nilichokiandika hapo ??
Note: Kuuliza swali pia ni njia mojawapo ya kujibu swali,, jikite kwenye mada..
Hi sijui hua mnatakaga nayo wapi...Kuwa na matako sio source of confidence.Na wenye makalio makubwa ogopa sana wanajiamini kuliko hata mwanamke mwenye degree
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hi sijui hua mnatakaga nayo wapi...Kuwa na matako sio source of confidence.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa tayari kuja na hoja utanambia
Sina cha kukuambia zaidi ya, badilika.
Nishakutana na wadada wengi tu type kama wewe. Wanajiulzaga tu
"Hivi Nakosea wapi?"
hapa unakuta aliemwambia atamuoa kaachana nae hlf akapata kwengine akaoa kwa speed ya 5G...
Mnafata sana uzungu mkisahau wanaume wenu wapo Afrika.
Ponea yenu ni kupata mwanaume baridi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo hoja yako ni kwamba mwanamke anayekubali kupigwa na kunyanyaswa ndiye anayefaa kuolewa siyo ?? Jibu ndiyo au hapana ili tusipoteze muda !!
Kikawaida wanaume huwa hatunaga urafiki na jinsia ke exceptional ikiwekwa kwa mama mzazi pamoja na mdogo wa kike , ukiona jamaa ana urafiki na wewe na ukadumu bila kuhusisha mapenzi jua kuna mambo mawili huyo ni punga au amukuweka kiporo akisubiri mtego utiki akukule kimasihara .No 3 inanihusu kwa hiyo mabaharia niogopeni, sitaki urafiki na wanawake japo nashirikiana nao kwa Mambo mengi hasa ya kibiashara na kijamii, napenda kuwa na marafiki wa kiume wale wenye mawazo chanya, sio wale wanaowaza ngono kila saa
Sent using Jamii Forums mobile app
Utajuaje Kama anaangalia porno? Vitu vingine vinaweza vikawa private zaidiJe madem wanao angalia porno? Nao tuachane nao
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23] kazi ipoKiufupi hakuna mwanamke ambae si wa kuogopwa:
Mkimya - Muogope
Muongeaji - Muogope
Anaevaa wigi - Muogope
Anaevaa nguo ya kubana - Muogope
Anachonga nyusi - Muogope
Anaenyoa nyusi - Muogope
Anaenyoa kiduku - Mamaaaa muogope
Anaechora tattoo - Ohoo muogope
Anaependa pesa - Muogope
Asiyependa pesa - Muogope bana!
Ilimradi wote tuwaogope maana huwezi jua ni yupi yuko sawa na wala kule Eden Adam alipokuwa amelala Eva aliongea nini na Iblis [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
Unachofanya hapa ni kuniwekea maneno mdomoni. Hiyo ni hoja yako. Sio yangu.
Please, Try again.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikawaida wanaume huwa hatunaga urafiki na jinsia ke exceptional ikiwekwa kwa mama mzazi pamoja na mdogo wa kike , ukiona jamaa ana urafiki na wewe na ukadumu bila kuhusisha mapenzi jua kuna mambo mawili huyo ni punga au amukuweka kiporo akisubiri mtego utiki akukule kimasihara .
☆E pluribus unum☆
Waliotulia wapo Endapo Huyo Mwanaume naye akiwa ametulia na mpaka ukimwomba Mungu na uhalakati wa Mwanamke akiunza bila sababu Huyo atakuwa hafai na nitamshangaaNa mkae mbali haswa,, maana dunia ya leo hao wanawake mnaowataka hawapo labda muwaumbe wenyewe..
Miss uMimi kuolewa au kutokuolewa inahusiana nini na nilichokiandika hapo ??
Note: Kuuliza swali pia ni njia mojawapo ya kujibu swali,, jikite kwenye mada..