- Thread starter
- #21
Dah !! Aisee hawa viumbe wakipewa mamlaka tumekwisha wanapenda kupelekeshaTuzidi kuombea Wanaume wanaoteseka
View attachment 1531954
Dah !! Aisee hawa viumbe wakipewa mamlaka tumekwisha wanapenda kupelekeshaTuzidi kuombea Wanaume wanaoteseka
View attachment 1531954
Nyie wanyonge tu kubali au ukataeEti mwanamke kiumbe dhaifu..mfyuuu.
Asijimilikishe ulitaka ammilikishe nan sasa na akati bila yeye izo manii mwanaume angemwaga wapi? Mwanamke kuchukua watoto inategemea wana umri gan, watoto wadogo malezi yao ni magumu yanahitaji mama wa kuzaa.....visa vya wamama wa kufikia vinajulikana kwaivo ulitaka mama aliyepata ule uchungu, shida zooote za mimba, kuzaa ni nusu kufa wafarakane na mwenzie amwachie watoto wadogo wenye uhitaji wa malezi ya mama??Na kama mtoto ni wa mama peke ake je mama ndie alieitunga mimba peke ake ninachopinga mm ni tabia ya wanawake kujimilikisha watoto mtu anagombana na mumewe anasomba mpaka watoto
Kaa ongea na mwanaume mtu mzima awe mzee ama mtu wa makamo ujue nan ana kifua cha uvumilivu kati ya mwanamke na mwanaume katika haya maisha........pengine na umri wako nao mdogo mawazo pia lazima yafikie apoWanaume wanabalaa yao lkn neno mwanaume tu lina maana uvumilivu na kumeza vitu kwenye koo lkn mwanamke mkichengana kidogo tu lazima akinukishe
Umemalizaaaa....mtoa mada aje atafakari hiyo haki sawa yeye anaielewajeWatu Weusi bana, Wazungu walikuwa wakitamka hivi kuhusu weusi, hawana akili, dhaifu na hawatakiwi kupewa madaraka
Tukapinga kuwa haya Ni ubaguzi wa rangi, yakaondolewa, Sasa hayo hayo ambayo tukifanyiwa sisi tunalia, hayohayo ndio tunataka wafanyiwe wanawake
Hakuna anayemsema mwanamke awe juu ya mwanaume nyumbani, au popote, kinachosemwa Ni watu wote bila kujali jinsia yao wapewe fursa sawa za kiuchumi na kijamii, waweze kufanya biashara, kumiliki Mali, kusomeshwa, kugombea nafasi za uongozi n.k bila kubaguliwa wala bila kupendelewa.
haya yanaruhisiwa Tanzania kwa kiasi kikubwa Ila baadhi ya nchi na baadhi ya jamii hapa Tz yanakatazwa
Kusema watu wanatoka nje ya ndoa eti ndio iwe kisingizia Ni upumbavu, wanawake hawapo perfect Wala wanaume hawapo perfect, na kigezo Cha baadhi watu kufanya makosa sio kumhukumu jamii nzima
Nan shost yko ww umekosa hoja ivo umeanza kuleta kandamnas na ndio wanawake mlivyo hamsomeki
😂😂 Embuuuuu
Nan shost yko ww umekosa hoja ivo umeanza kuleta kandamnas na ndio wanawake mlivyo hamsomeki
Huyu dada ni afande aise😀😀😀😀Tuzidi kuombea Wanaume wanaoteseka
View attachment 1531954
Kiasili mwanamke anapaswa aongozwe na mwanaume na hayo mengine ni mienendo na tabia ambapo kila mmoja anayo/anazoHabarini wana JamiiForums, hope wote mpo home mnaenjoy weekend.
Sasa basi, ebu ngoja tuingie kwenye mada nimekutana na uzi huko watu wanalalamika eti mwanamke anadhalauriwa sana, sasa nataka niwape siri ambayo wengi hamjui. Mwanamke ukimpa madaraka lazima akutawale; utashikwa masikio utafinywa, utazabwa vibao.
Hawa viumbe akili zao huwa wanazijiua wenyewe; huwa nacheka sana ninaposikia eti wanataka haki sawa, haki sawa kivipi?
Hivi tu wako chini ya mwanaume lakini wanazaa nje ya ndoa. Wanabambikizia wanaume watoto. Wanang'ang'ania watoto eti ni wanawe utadhani mwanaume alikuwa amelala tu watoto wakakuzwa. Wanajiuza uko mabarabarani. Wana mdomo, umbea mwanzo mwisho na vimbwanga vengine kibao tu vengine hata sitaki kuviweka humu maana nisije nikatukanwa.
My conclusion: Mwanamke ni kiumbe dhaifu na ukimpa mamlaka tu basi lazima akupande kichwani.
Mnapenda kujisifia nan asiye wajua nyie uvumilivu wa mwanamke upo kwenye mapambio tu nimewah kuwa na mahusiano meng sn najua vzr wanawake ngoja nikupe mfano kuna mwanamke aliwah niomba ela ya kusuka nikamkatalia kumbe mwenzangu kamaind nikaja gundua ameanza mahusiano na mtu mwengine nilipomwambia jibu alilonipa eti we utamnyimaje mkeo pesa ya kusuka unamuache ahang'aikeng'aike uko mabarabaran nikapata hasira nikamzaba vibaoKaa ongea na mwanaume mtu mzima awe mzee ama mtu wa makamo ujue nan ana kifua cha uvumilivu kati ya mwanamke na mwanaume katika haya maisha........pengine na umri wako nao mdogo mawazo pia lazima yafikie apo
Umeanzisha uzi ili upate majibu unayoyataka......sjasema uongee na mwanamke, nimekwambia ongea na mzee, mwanaume wa makamo mwenye meyaishi maisha marefu utajifunza mengi....kumbe bado unaombwa viela vya kusuka, sio majumba watoto waishi au hawara akae duh kwaheriiMnapenda kujisifia nan asiye wajua nyie uvumilivu wa mwanamke upo kwenye mapambio tu nimewah kuwa na mahusiano meng sn najua vzr wanawake ngoja nikupe mfano kuna mwanamke aliwah niomba ela ya kusuka nikamkatalia kumbe mwenzangu kamaind nikaja gundua ameanza mahusiano na mtu mwengine nilipomwambia jibu alilonipa eti we utamnyimaje mkeo pesa ya kusuka unamuache ahang'aikeng'aike uko mabarabaran nikapata hasira nikamzaba vibao
Umeliza swali zur sana ila jibu litakuwa refu sn km tukitaka kuexplain in deep lkn in short haki sawa mean treated equally kwa kiswahili sijui nisemaje labda tuseme wana mamlaka sawa bila kujali jinsia zao mfano mwanamke na mwanaume wakiish nyumba moja km wanandoa wote wawili wawe wanachelewa kurud nyumban na na wote wana mamlaka ya kumuuliza mwenzie umetoka wapi ?Mtoa mada angetuambia maana ya haki sawa inayozungumziwa yeye akilini mwake anaielewaje
Haijalishi tena tambua huo ni wajibu wake sio hiari lakini pia ye dhaifu tu hata akibebwa na haki sawa biblia ilishamaliza kila kitu.renamaizo tafakari pia kuwa mwanamke ndiyo mlango uliokuleta duniani.
Kheeeee mi nkajua haki sawa unaizungumzia ktk fursa za maisha we unamaanisha haki sawa kwa wapenziUmeliza swali zur sana ila jibu litakuwa refu sn km tukitaka kuexplain in deep lkn in short haki sawa mean treated equally kwa kiswahili sijui nisemaje labda tuseme wana mamlaka sawa bila kujali jinsia zao mfano mwanamke na mwanaume wakiish nyumba moja km wanandoa wote wawili wawe wanachelewa kurud nyumban na na wote wana mamlaka ya kumuuliza mwenzie umetoka wapi ?
Ongera bwana mzee napenda majibu km haya short and clearHaijalishi tena tambua huo ni wajibu wake sio hiari lakini pia ye dhaifu tu hata akibebwa na haki sawa biblia ilishamaliza kila kitu.
Ni shetani analazimisha kumjaza ujinga na kumuinua mwanamke ila haitotokea awe sawa na MUME never ever.
Jaribu kuwa muelewa nimekwambia inshort nikisema nikupe jibu lote litakuwa lefuKheeeee mi nkajua haki sawa unaizungumzia ktk fursa za maisha we unamaanisha haki sawa kwa wapenzi
Kwahiyo unataka kusema kwamba haya madai ya wanawake kuonekana dhaifu na kuongezwa na wanaume ni kwa sababu wanabaguliwa tu hivyo wanakosa nafasi za kuonesha uwezo wao na kufanya kuonekana wadhaifu?Watu Weusi bana, Wazungu walikuwa wakitamka hivi kuhusu weusi, hawana akili, dhaifu na hawatakiwi kupewa madaraka
Tukapinga kuwa haya Ni ubaguzi wa rangi, yakaondolewa, Sasa hayo hayo ambayo tukifanyiwa sisi tunalia, hayohayo ndio tunataka wafanyiwe wanawake
Hakuna anayemsema mwanamke awe juu ya mwanaume nyumbani, au popote, kinachosemwa Ni watu wote bila kujali jinsia yao wapewe fursa sawa za kiuchumi na kijamii, waweze kufanya biashara, kumiliki Mali, kusomeshwa, kugombea nafasi za uongozi n.k bila kubaguliwa wala bila kupendelewa.
haya yanaruhisiwa Tanzania kwa kiasi kikubwa Ila baadhi ya nchi na baadhi ya jamii hapa Tz yanakatazwa
Kusema watu wanatoka nje ya ndoa eti ndio iwe kisingizia Ni upumbavu, wanawake hawapo perfect Wala wanaume hawapo perfect, na kigezo Cha baadhi watu kufanya makosa sio kumhukumu jamii nzima
Na si kwamba wanawake wananyimwa power,kwa zama tulizokuwa nazo kama hao wanawake wanayo nafasi ya kufanya hayo wanayofikiri wanaweza kuyafanya mbona wapo wanawake ambao wamefanya mambo makubwa tu na wanaheshimika,sasa hawa wanaolalamika wanataka wapewe upendeleo kisa wao wanawake hapo ndiyo penye tatizo.Big point ni kwel udhaifu wao ndio unawezesha mambo meng mm nachopinga ni kupewa power yan yy ndio awe kichwa cha familia
Mmekwishaanza hadithi za kuku na yai hapa!renamaizo kama mtoto sio wa mama pia, je baba ndiye alikubeba tumboni miezi yote adi wewe kuja duniani???