samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,476
- 24,264
mwanamke ameumbwa alivyoumbwa, tatizo ni kutaka kwenda tofauti na alivyoumbwa..
wanawake wengi hasa wakiaAfrica wako brainwashed na hizi kauli za haki sawa na tayari kujiona wanaweza kubeba majukumu ya kiume.
Anavyoweza kuvifanya mwanaume kwa asilimia kubwa ili ugali upatikane mwanamke hawezi kufanya huu ni uumbaji, vingi anavyoweza kufanya mwanamke ambavyo mwanaume hawezi ni vile vya kimaumbile hapa ndipo unaona uwepo wa Mungu na uumbaji..