Mwanamke akipewa nguvu tumekwisha, hivi tu haki sawa tunaisoma namba

Na kama mtoto ni wa mama peke ake je mama ndie alieitunga mimba peke ake ninachopinga mm ni tabia ya wanawake kujimilikisha watoto mtu anagombana na mumewe anasomba mpaka watoto
Asijimilikishe ulitaka ammilikishe nan sasa na akati bila yeye izo manii mwanaume angemwaga wapi? Mwanamke kuchukua watoto inategemea wana umri gan, watoto wadogo malezi yao ni magumu yanahitaji mama wa kuzaa.....visa vya wamama wa kufikia vinajulikana kwaivo ulitaka mama aliyepata ule uchungu, shida zooote za mimba, kuzaa ni nusu kufa wafarakane na mwenzie amwachie watoto wadogo wenye uhitaji wa malezi ya mama??
 
Wanaume wanabalaa yao lkn neno mwanaume tu lina maana uvumilivu na kumeza vitu kwenye koo lkn mwanamke mkichengana kidogo tu lazima akinukishe
Kaa ongea na mwanaume mtu mzima awe mzee ama mtu wa makamo ujue nan ana kifua cha uvumilivu kati ya mwanamke na mwanaume katika haya maisha........pengine na umri wako nao mdogo mawazo pia lazima yafikie apo
 
Umemalizaaaa....mtoa mada aje atafakari hiyo haki sawa yeye anaielewaje
 
Mtoa mada angetuambia maana ya haki sawa inayozungumziwa yeye akilini mwake anaielewaje
 
Kiasili mwanamke anapaswa aongozwe na mwanaume na hayo mengine ni mienendo na tabia ambapo kila mmoja anayo/anazo



Haki sawa kwa wote HUYU SASA NI SHETANI sababu siku zote shetani hawezi kwenda sawa na MWENYEZIMUNGU na mifano iko mingi tu


1=zinaa inavohalalishwa
2=kamari ndio njia ya kujitafutia
3=pombe ndio biashara inayolipa sana
4=kuua ndio kumekua solution inayopendwa na wengi
5=ushoga umekua halali

Kwahiyo yale yote ambayo MWENYEZIMUNGU ameyakataza shetani yeye anayapamba na kuyahalalisha machoni mwa watu na kupitia JESHI LAKE amekua akifanikiwa sana


Lakini MWENYEZIMUNGU ndio MSHINDI siku ya mwisho na ndio MWENYE ENZI wa mwanzo wa sasa na wa baadae


Haya yanayofanywa yote ni MBWEMBWE tu
Binadamu umepewa akili na maarifa na umeamrishwa uitafute elimu ambayo itakufungua kujua zuri na baya kisha ufate zuri na uache baya na kama utaamua kufuata baya kwa maslahi ya dunia hakika wewe ndio muamuzi wa maisha yako na kama utaamua kufuata zuri hakika kitakachomfaa mtu ni mazuri yake


Mwisho nimalizie kila mmoja mwanaume kwa mwanamke ana nafasi yake na mipaka yake na hiyo ndio ASILI ambayo MWENYEZIMUNGU ametaka na ameifanya iwe hivo
 
Kaa ongea na mwanaume mtu mzima awe mzee ama mtu wa makamo ujue nan ana kifua cha uvumilivu kati ya mwanamke na mwanaume katika haya maisha........pengine na umri wako nao mdogo mawazo pia lazima yafikie apo
Mnapenda kujisifia nan asiye wajua nyie uvumilivu wa mwanamke upo kwenye mapambio tu nimewah kuwa na mahusiano meng sn najua vzr wanawake ngoja nikupe mfano kuna mwanamke aliwah niomba ela ya kusuka nikamkatalia kumbe mwenzangu kamaind nikaja gundua ameanza mahusiano na mtu mwengine nilipomwambia jibu alilonipa eti we utamnyimaje mkeo pesa ya kusuka unamuache ahang'aikeng'aike uko mabarabaran nikapata hasira nikamzaba vibao
 
Umeanzisha uzi ili upate majibu unayoyataka......sjasema uongee na mwanamke, nimekwambia ongea na mzee, mwanaume wa makamo mwenye meyaishi maisha marefu utajifunza mengi....kumbe bado unaombwa viela vya kusuka, sio majumba watoto waishi au hawara akae duh kwaherii
 
Mtoa mada angetuambia maana ya haki sawa inayozungumziwa yeye akilini mwake anaielewaje
Umeliza swali zur sana ila jibu litakuwa refu sn km tukitaka kuexplain in deep lkn in short haki sawa mean treated equally kwa kiswahili sijui nisemaje labda tuseme wana mamlaka sawa bila kujali jinsia zao mfano mwanamke na mwanaume wakiish nyumba moja km wanandoa wote wawili wawe wanachelewa kurud nyumban na na wote wana mamlaka ya kumuuliza mwenzie umetoka wapi ?
 
renamaizo tafakari pia kuwa mwanamke ndiyo mlango uliokuleta duniani.
Haijalishi tena tambua huo ni wajibu wake sio hiari lakini pia ye dhaifu tu hata akibebwa na haki sawa biblia ilishamaliza kila kitu.
Ni shetani analazimisha kumjaza ujinga na kumuinua mwanamke ila haitotokea awe sawa na MUME never ever.
 
Kheeeee mi nkajua haki sawa unaizungumzia ktk fursa za maisha we unamaanisha haki sawa kwa wapenzi
 
Haijalishi tena tambua huo ni wajibu wake sio hiari lakini pia ye dhaifu tu hata akibebwa na haki sawa biblia ilishamaliza kila kitu.
Ni shetani analazimisha kumjaza ujinga na kumuinua mwanamke ila haitotokea awe sawa na MUME never ever.
Ongera bwana mzee napenda majibu km haya short and clear
 
Kheeeee mi nkajua haki sawa unaizungumzia ktk fursa za maisha we unamaanisha haki sawa kwa wapenzi
Jaribu kuwa muelewa nimekwambia inshort nikisema nikupe jibu lote litakuwa lefu
 
Kwahiyo unataka kusema kwamba haya madai ya wanawake kuonekana dhaifu na kuongezwa na wanaume ni kwa sababu wanabaguliwa tu hivyo wanakosa nafasi za kuonesha uwezo wao na kufanya kuonekana wadhaifu?
 
Big point ni kwel udhaifu wao ndio unawezesha mambo meng mm nachopinga ni kupewa power yan yy ndio awe kichwa cha familia
Na si kwamba wanawake wananyimwa power,kwa zama tulizokuwa nazo kama hao wanawake wanayo nafasi ya kufanya hayo wanayofikiri wanaweza kuyafanya mbona wapo wanawake ambao wamefanya mambo makubwa tu na wanaheshimika,sasa hawa wanaolalamika wanataka wapewe upendeleo kisa wao wanawake hapo ndiyo penye tatizo.
 
Lisha familia miaka 10, kuwa juu ya mawe na mwanamke alishe familia miezi sita tu, balaa.
Mshahara wako ni wa familia, mshahara wake ni wa kwake..
Mkizeeka watoto watamtumia hela yeye, baba usipokuwa makini unanyanyasika.
Mkiachana yeye atakaa na watoto lakini matumizi utatuma wewe yeye alishabeba mimba inatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…