Kibeba mtoto tumboni Hilo nenda kaahitaki kwa Mungu ulitaka abebe Nani!?hio ni lazimarenamaizo kama mtoto sio wa mama pia, je baba ndiye alikubeba tumboni miezi yote adi wewe kuja duniani???
Yaani ukiona janaume linalalamika gender issues jua huyo amepwaya kwake Sasa anajitafuta ajipooze..Eti mwanamke kiumbe dhaifu..mfyuuu.
Ukosefu wa akili kuweka watu katika makundi ya kijinsia na kuwapa sifa moja wakati wanatofautiana sana, jinsia zote zina watu wazuri na wabaya, nadhani kama umesoma shule uliona kuna wanafunzi wa kike walikuwa wana uwezo wa kuongoza na wa kimasomo kuliko wanaume,Kwahiyo unataka kusema kwamba haya madai ya wanawake kuonekana dhaifu na kuongezwa na wanaume ni kwa sababu wanabaguliwa tu hivyo wanakosa nafasi za kuonesha uwezo wao na kufanya kuonekana wadhaifu?
Ndiyo mimi nashangaa sasa haya malalamiko ya wanawake ya nini? wanakuwa watu wenye kutaka kupewa nafasi za upendeleo sijui wakiwezeshwa wanaweza.Ukosefu wa akili kuweka watu katika makundi ya kijinsia na kuwapa sifa moja wakati wanatofautiana sana, jinsia zote zina watu wazuri na wabaya, nadhani kama umesoma shule uliona kuna wanafunzi wa kike walikuwa wana uwezo wa kuongoza na wa kimasomo kuliko wanaume,
na kama unaishi kwenye jamii inayotoa fursa kwa wanawake unatambua wapo wanawake wafanyakazi vizuri kuliko wanaume, wachumi na viongozi wazuri kuliko wanaume, wapo wengine wabaya pia
kuna tabia katika baadhi ya jamii kuwa wanawake ni dhaifu, hawafai kuongoza, hawafai kufanya shughuli yoyote zaidi ya kuzaa na kulea, hicho ndicho kilikuwa kilikuwa kinakemewa. Kinachotakiwa ni fursa sawa, sio kuzawadiwa nafasi kisa we ni jinsia ya kike na ni mbaya kunyimwa sababu we ni wa kike pia,Ndiyo mimi nashangaa sasa haya malalamiko ya wanawake ya nini? wanakuwa watu wenye kutaka kupewa nafasi za upendeleo sijui wakiwezeshwa wanaweza.
Thats right tatizo huwa hawatak ukwelmwanamke ameumbwa alivyoumbwa, tatizo ni kutaka kwenda tofauti na alivyoumbwa..
wanawake wengi hasa wakiaAfrica wako brainwashed na hizi kauli za haki sawa na tayari kujiona wanaweza kubeba majukumu ya kiume.
Anavyoweza kuvifanya mwanaume kwa asilimia kubwa ili ugali upatikane mwanamke hawezi kufanya huu ni uumbaji, vingi anavyoweza kufanya mwanamke ambavyo mwanaume hawezi ni vile vya kimaumbile hapa ndipo unaona uwepo wa Mungu na uumbaji..
Naunga mkono hoja mjumbe.Yaani ukiona janaume linalalamika gender issues jua huyo amepwaya kwake Sasa anajitafuta ajipooze..
Mwanaume ukisimama kwenye nafasi yako 90% (tutoe 10%) hakunaga mwanamke atakayekudharau..narudia HAKUNA!
Kwa hiyo baba hajaahiriki?renamaizo kama mtoto sio wa mama pia, je baba ndiye alikubeba tumboni miezi yote adi wewe kuja duniani???
Ndo maana nikasema ni wa mama pia, sjasema ni wa mama.....I meant mtoto ni wa baba na mamaKwa hiyo baba hajaahiriki?
Mie asili yangu huwa mtata Ila ukiplay part yako walah nanyweaaa..hata uniombe maji ya kunywa ya Moto naletaš¤