Mwanamke akiweza kumiliki vitu hivi ni ngumu ndoa Kudumu

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Kweli kabisaa
 
Lakini binti yako kila siku unamkomalia asome kwa bidii ili awe na hela asimtegemee mwanaume in her life ili asiteseke.
Hapo hapo akifika 30+ hajaolewa unaanza kupata stress na kumlaumu kwanin haolewi.
Hizi kweli ni double standards.
Na ni kweli mkuki kwa noah lakn kwa binadam n mchungu.
 
Sio kama hasisome hapana ila now days wasomi ni wengi kuliko hata walioelimika.

inafikia wakati wanamke anataka kuplay part ya mwanaume na hapo ndo ugumu wa maisha unapoanzia.
Ukiona hivyo basi ujue huyo hana  utii na hafai kua mke wako.
Kimsingi ndoa haitaki siasa na ujuaji
 
Loo umegonga penyewe kabisa jamaaa.Hapa nilipo wanawake wengi walioajiliwa ni ma single mothers.
Hawa viumbe wakipata pesa huwa na kiburi na dharau sana kwa waume zao.
Kwa maoni yangu ni bora kuoa mwanamke aliyeishia darasa la saba kuliko Hawa wasomi utajuta ukiwakimbilia hawa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…