Mwanamke akiweza kumiliki vitu hivi ni ngumu ndoa Kudumu

Kwa uliyo yaandika basi nachelea kusema kwamba mkeo anaishi kwa hofu kuu na hana amani na pengine amapitia manyanyaso makubwa zaidi
Una maisha ya kukalili,unatumia nafasi ipi ya kusema Hayo
 
Natumia uhuru wa kutoa maoni kutikana na kile ilicho kiandika wewe kwa utashi wako na pasipo kushikiwa upanga.
Sawa wakongwe wa jf ,mna ujuaji mwingi sana.

Naona umeanza hadi kuifahamu familia yangu si ndivyo
 
Hapa nilipo Kuna mmoja kaolewa juzi yupo 27 Tena ni mtu wa dini sana na mpole..ila have wengine Kuna aliyeolewa 35 akiwa ni single mother tayar ..ila Kuna kundi kama 6 wanazunguka tu hapa kwanza wana sura za makasiriko na hasira za haraka wako harsh sana
 
Pesa ya mwanamke isipokusaidia kwenye kujenga nyumba ya kuishi, pesa hiyo haitakaa ikusaidie kwenye 'jambo lolote lile'.
In other words, kama umekwisha jenga nyumba ya kuishi ukiwa bachela, huna haja ya kuoa mwanamke msomi/ mwenye pesa. Oa tu mtoto wa std 7 au form four failure au mwalimu... uta enjoy maisha!
 
Ni ngumu sn now days kumficha au kumzuia mwanamke hasa wa mjini kwa sababu zifuatazo
1.technology...sasa hivi wanashinda insta,tik tok,telegram,wanamakundi yao ya whatsap in short unampatia bando kwa hela unayomuachia na anasoma nakujua kilakitu
2. Vikundi vya ujasiriamali hapa ndio janga. ..kunakipindi wanahama kabisa home km mkutano wa beijini
3.wale wanaoshinda makazini ndio janga zaidi. ..wakinamama wengi wavivu. .siwote hivyo kazi yao kupiga story at the end of a day wale wanalwafanyia kazi wanawageuza vimada wao.
4 ...saluni. ..haaaa janga jingine hill.
In short mwanamke akupende mwenyewe ndio mtaishi au kupendana nasikwa hela or chochote ulichonacho which very slim. .
Wanaume kazi ipo
 
Kwa kifupi Mwanamke akiwa na power kumzidi mwanaume chances are hiyo ndoa itaparaganyika
 
Mbona “mwalimu “😂
 
Tafuta pesa!!! Sio unamuachia mkeo afu tatu kisha unataka akuheshimu kwa lipi?.
 
Write your reply... Mwanamke akianza kumiliki pesa ndefu kumliko mumewe Kuna uwezekano mkubwa Sana hiyo ndoa ikayumba.

Hawa viumbe wakishapata pesa huwa wanavimba Sana Hadi kwenye masuala ya msingi Kama tendo la ndoa.
 
. Mwanamke akianza kumiliki pesa ndefu kumliko mumewe Kuna uwezekano mkubwa Sana hiyo ndoa ikayumba.

Hawa viumbe wakishapata pesa huwa wanavimba Sana Hadi kwenye masuala ya msingi Kama tendo la ndoa.
 
Utaoaje mwanamke anaekuzid akili.
 
Either mnafikiria kitoto au mmetanguliza ubinafsi mbele, ikiwa baba au mama anaweza tangulia mbele za haki kuna haja ya kila mmoja kujiandaa kusimama kwa miguu yake mwenyewe pindi mwenzie akiwa hayupo.

Mnawaza mapenzi tu muda wote wakati kuna mambo ya msingi kwenye familia ya kufikiria.

Au wenzetu mna life insurance?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…