Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,945
- 4,827
Mwanamke akizaliwa pisi kali, (sura anayo, shepu ya kwenda) hakika kashapiga hatua kubwa ya kuuaga umasikini hata kama kwao hali ni tia maji tia maji, the only thing matters about them is mindset (tabia)
Licha ya kuwa tuna kampeni kubwa ya kataa ndoa lakini bado wanaume mara nyingi tuanjitafuta sana katika maisha na tukijipata tu tukiiona pisi kali imetulia haijalishi hali ya umasikini wa kwao, tunaichukua tunaweka ndani yani tunaoa
Lakini pia demu akiwa pisi kali lakini akikosa akili (mindset bora) hakika ataumia vibaya, ataishia kuwa single mother na baadae kuwa mshangazi (atapoteza heshima yake katika jamii)