Mwanamke akizaliwa pisi kali, amezaliwa na potential kubwa ya kuuaga umasikini

Mwanamke akizaliwa pisi kali, amezaliwa na potential kubwa ya kuuaga umasikini

Ni kweli vijana wanawake na vijana wa kiume hawana equal economic platform, kijana wa kike anaweza kuonwa na kuvushwa kwa kubahatika kupata mwenza na maisha yakaanzia kubabilikia hapo.
Ila pia itategemea huyo pisi anaishi wapi....ipo mikoa ina uhaba sana wa hao pisi.......mikoa kama Mbeya, katavi kigoma, Simiyu Geita ina competition kali sana......tofauti na central Tanzania au pwani.
 
Wapo vijana wenye hela nyingi za jasho, ila wachache sana, ndo niffer anawataka hao waliomzidi mali na kipato..tena wawe ma-handsome, warefu, wampende, wawe God fearing 😁 Kevin Samuels alikua na kazi sana min -me
Nifer wa jf ? Kevin Samuel ni nani?
 
Hiyo ni kwa waliozaliwa town labda,vijijini kuna pisi kali na wanaolewa hukohuko na wakulima wafugaji hali ni tete.
 
Back
Top Bottom