Mwanamke akizaliwa pisi kali, amezaliwa na potential kubwa ya kuuaga umasikini

Mwanamke akizaliwa pisi kali, amezaliwa na potential kubwa ya kuuaga umasikini

Awe na shepu tu akili tutatumia zangu.
 
Aaargh mi mpaka kuitwa chizi nimefanana na mdingi hasa. We nakucheck avatar yako mrembo sana. Na ulivyosuka ... Na kifuani una ma annabelle makubwa laini... Sema umekosa makebo tu. Ila we mrembo na mi annabelle ya ku munch mikubwa.... Unavutia sana. Huo ndo ugonjwa wa ELI COHEN na secretarybird
Kusema ukwel umebarikiwa makubwa kuliko wanawake wote
 
Mungu anipe hekima kuyavuka haya!
1000411128.jpg
 
Kusema ukwel umebarikiwa makubwa kuliko wanawake wote
We nakucheck avatar yako mrembo sana. Na ulivyosuka ... Na kifuani una ma annabelle makubwa laini... Sema umekosa makebo tu. Ila we mrembo na mi annabelle ya ku munch mikubwa.... Unavutia sana. Huo ndo ugonjwa wa ELI COHEN na secretarybird
 
Uzuri bila akili na maarifa wengi wanaishia kuwa mabaamedi na wauzaji..

Mtoto wakike unapomlea hakikisha ajue power yake ipo kwenye Akili na ujuzi.
 
Mwanamke akizaliwa pisi kali, (sura anayo, shepu ya kwenda) hakika kashapiga hatua kubwa ya kuuaga umasikini hata kama kwao hali ni tia maji tia maji, the only thing matters about them is mindset (tabia)

Licha ya kuwa tuna kampeni kubwa ya kataa ndoa lakini bado wanaume mara nyingi tuanjitafuta sana katika maisha na tukijipata tu tukiiona pisi kali imetulia haijalishi hali ya umasikini wa kwao, tunaichukua tunaweka ndani yani tunaoa

Lakini pia demu akiwa pisi kali lakini akikosa akili (mindset bora) hakika ataumia vibaya, ataishia kuwa single mother na baadae kuwa mshangazi (atapoteza heshima yake katika jamii)
Jitihada haishindi Qudra.
 
Umeipata wapi?
intelligence tu mama, huwa nakompare kila doti.

Mim ata ukiwa mgen machon pangu, usipo zungumza natoka kapa.

ila ukifungua mdomo wako tu kuzungumza nakufaham kiundan zaid
 
intelligence tu mama, huwa nakompare kila doti.

Mim ata ukiwa mgen machon pangu, usipo zungumza natoka kapa.

ila ukifungua mdomo wako tu kuzungumza nakufaham kiundan zaid
Hahhah kwa jf hii utauponza baba watu wana id laki 7 na wana personalities tofauti tofauti😆
 
Back
Top Bottom