Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 39,203
- 79,500
Yule Tunda aliyesumbua online kwa mkoa wa Arusha ile ni normal specie. Ukiwa Singida au Babati unakutana wa zaidi yake wengi wakiwa wanauza matunda sokoni au wanafanya usafi.
Kuna she alitrend mfanyakazi wa Tilisho sikumbuki jina, wakadai ni mzuri. No yule bado kabisa yaani lakini she alibebwa na mindset na uwepo wa simps waliojaa online.
Kuna she alitrend mfanyakazi wa Tilisho sikumbuki jina, wakadai ni mzuri. No yule bado kabisa yaani lakini she alibebwa na mindset na uwepo wa simps waliojaa online.